gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hakuna mtume mwenye dhambi za aibuKama ulisoma nilichoandika nilikuambia angalau Yesu yeye hajaripotiwa dhambi zake.
So ushahidi sina ila mitume wengine karibu wote ikiwemo Muhammad wanadhambi kama zote na wengine za aibu
Kichwa kigumu kuelewa nimekupa maandiko kabisa ya Biblia hata sio ya Uisilamu kwamba Sara kampa Ibrahim mtumwa wake ili amuoe, kitu gani hajaelewa kuhusu ndoa? We umeleta maandiko mengine ambayo hayapingi kwamba kulikua na ndoa.Proof ya kuzini? Sasa Ishmael sio proof ya uzinzi wao?
Hajri hajawahi kuwa Mke wa Ibrahim.
Ni kijakazi aliyelala na Boss wake.
Kama uislam ndio unatafsiri kwamba boss akilala na kijakazi wake akamzalisha anageuka mke basi hayo ni maajabu ya uislam.
Hajri hakuwa Mke wala Suria wa ubrahim na ndio maana alifukuzwa.
Kwani wazazi wa Mohammad walioana ndoa ya aina gani wakati tunaambiwa walikuwa makafiri nani aliwafungisha ndoa?Hakuna mtoto wa zinaa hata mmoja hapo katika Ya hao uliowataja. Na kiisilamu kuclaim hivyo tayari umetoka kwenye dini ukashahadie upya.
Kwani unaona Mungu alimfurahia?Kwa hiyo ni mzinifu dah ila ukristo unawatukanisha Manabii vibaya
Kwanza hakuziniKwani unaona Mungu alimfurahia?
Mungu asingeruhusu kufukuzwa kwa hajiri na mwanae, kwenye eneo hilo Ibrahim alikosea kumsikiliza Mke wake Sarah maana Mungu alimwambia nitakupa mtoto lakini hakuaminiKwanza hakuzini
Sawa hayo ni mambo yenu nawaachiaMungu asingeruhusu kufukuzwa kwa hajiri na mwanae, kwenye eneo hilo Ibrahim alikosea kumsikiliza Mke wake Sarah maana Mungu alimwambia nitakupa mtoto lakini hakuamini
SafiSawa hayo ni mambo yenu nawaachia
1 Petro 2:22: "Yeye hakutenda dhambi, wala udanganyifu haukuwapo kinywani mwake."Kama ulisoma nilichoandika nilikuambia angalau Yesu yeye hajaripotiwa dhambi zake.
So ushahidi sina ila mitume wengine karibu wote ikiwemo Muhammad wanadhambi kama zote na wengine za aibu
Yohana 1:1 Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine cho chote, aliku wapo Neno. Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu. 2 Tangu mwanzo Neno amekuwa na Mungu. 3 Vitu vyote viliumbwa na yeye, wala hakuna cho chote kilichoumbwa ambacho hakukiumba.Nipe hiyo Aya inayosema Yesu ni MUNGU. Ili nione huo mvurugano wa biblia.
Hukumsikia TomasoNipe hiyo Aya inayosema Yesu ni MUNGU. Ili nione huo mvurugano wa biblia.
Akuoa alikuwa kijakazi tuHakuwa Haram,kuna Sheria ipo hata kwenye uislam,suria/mtumea ukiamua kufunga nae ndoa basi unamwambia tu bila kumpa mahari, ndiyo hiyo aliutumia Ibrahim kwa hajra
Ushahidi?Emmanuel a.k.a Yesu anakuwaje mtoto wa Zinaa wakati mimba yake kwa Miriam ilikuwa kwa uwezo wa roho mtakatifu na siyo kwa Yusufu kufanya mapenzi na Miriam?
Ndoa ni makubaliano baina ya mume na mke, ndoa yoyote Ile kwa jicho la Uisilamu ni sahihi iwe ya kikristo, ya kimila, ya kiyahudi etc.Kwani wazazi wa Mohammad walioana ndoa ya aina gani wakati tunaambiwa walikuwa makafiri nani aliwafungisha ndoa?
Hebu nitafsirie mkuu kwa Kiswahili labda Mimi ndio sielewi unaweza kulisema hili andiko kwa Kiswahili?Proof ya kuzini? Sasa Ishmael sio proof ya uzinzi wao?
Hajri hajawahi kuwa Mke wa Ibrahim.
Ni kijakazi aliyelala na Boss wake.
Kama uislam ndio unatafsiri kwamba boss akilala na kijakazi wake akamzalisha anageuka mke basi hayo ni maajabu ya uislam.
Hajri hakuwa Mke wala Suria wa ubrahim na ndio maana alifukuzwa.
Kwahiyo ndoa ya bomani ni halali?Ndoa ni makubaliano baina ya mume na mke, ndoa yoyote Ile kwa jicho la Uisilamu ni sahihi iwe ya kikristo, ya kimila, ya kiyahudi etc.
Leo hii wamasai ambao hata hawana dini wakioana then wakija kusilimu baadae hawana haja ya kufunga ndoa tena sababu automatic Uisilamu unakubali ndoa ya kimila.