Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

Baadhi ya Watu hawafikiri vizuri,

Unapoharibu maisha ya mtu mmoja,basi tambua kabisa umeharibu maisha ya watu wengi nyuma ya huyo mtu waliokuwa wanamtegemea,ambao kwa hakika ni very innocent,
 
Kuna Rais mmoja alijifanya nchi xa babake mnoko sana akafanyiwa zengwe akafa,wati tunaendelea kula nchi
Yule rais alijichanganya kuanza kuwatesa wachagga na bureau de change zao walizozositoea kwa miaka.
Bado akaanza kuwasumbua wenye CCM yao.p
 
Hao watu walikuwa darasa la saba?
 
Sema we jamaa umekaa kitapeli sana humu jukwaani na una wivu, nimekuona sana kwenye Uzi wa umughaka unavyotoa povu la kijinga yaani ni dizaini ya watu hawataki kuona maendeleo ya wenzao, pole sana
Daah.... Yaani wewe kweli una mapenzi ya kweli kwa jamaa. Si akuoe tu?maana mi sijamtaja popote na nimemtadhalisha tu ila wewe umemweka moyoni mpaka huku umemleta
 
Yule rais alijichanganya kuanza kuwatesa wachagga na bureau de change zao walizozositoea kwa miaka.
Bado akaanza kuwasumbua wenye CCM yao.p
Shida tu ni pale alipoamua ku deal na vilaza. Wenye vyeti fake hao mpaka leo mtaendelea kumzungumzia.
 
Tunapomwandama mleta mada na kila aina ya matusi,kejeli na vilaana uchwara,ni fundisho tosha mlioko huko makazini. Acheni unonko,heshimuni wafanyakazi wenzenu.

Dunia INA siri nyingi....mnaotukana humu labda hamjawahi kufanya kazi na MTU 'snitch'. Kazi utaiona chungu....

Refer the following.
1. Usiombe ufanye kazi na 'mkenya' mwenye kutaka sifa.
2. Usiombe ufanye kazi na 'mjaluo' mwenye kutaka sifa na cheo.
 
Mkatubu na mumrudie MUNGU maana saa yaja!
 
Ulikuwa unamlalamikia UMUGHAKA anawachafua wapemba,haijapita hata nusu saa unatusimulia ulozi wako,acha kujisifia uchawi na MAJUNGU hayakufikishi popote.....Kwani alivyofukuzwa kazi mshahara wake mlipewa?
Dah ...uyu mwamba bhana nkatia hasira kinyama yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…