TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Pole kwa ndugu jamaa na marafiki.

Ila kwa kiasi Members wa jf tunahitaji kubadilika sababu mtu ameshafariki eti watu ndo mnataka kujua umri wake, sijui katumia dawa kwa muda gani hivi mkishajua inawasaidia nini? 🤔

Nadhani huu ni muda wa kumuombea huko aendako na kuitafakari kesho yetu hayo mengine kutaka kuyajua ni kama yalishachelewa.
 
Apumzike kwa amani. Naomba maelezo ya sehemu gani hapo Unga Limited msiba ulipo ili niweze kuhudhuria
 
Umepima sasa...au unajimwambafai tu hapa?

Kavu kila mtu anapenda tatizo ni wale bacteria nyoko sana wakiingia kwa mwili
 
Sote ni wa Mungu na sote tutarejea kwake.
Poleni wote.
 
Poleni sana wafiwa hasa wale wanao mfahamu physical inaonekana alipitia hali ngumu sana kwenye safari yake ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…