TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Pole kwa ndugu jamaa na marafiki.

Ila kwa kiasi Members wa jf tunahitaji kubadilika sababu mtu ameshafariki eti watu ndo mnataka kujua umri wake, sijui katumia dawa kwa muda gani hivi mkishajua inawasaidia nini? 🤔

Nadhani huu ni muda wa kumuombea huko aendako na kuitafakari kesho yetu hayo mengine kutaka kuyajua ni kama yalishachelewa.
 
Apumzike kwa amani. Naomba maelezo ya sehemu gani hapo Unga Limited msiba ulipo ili niweze kuhudhuria
 
kwakeli katika maisha yangu yote DUNIANI nimetumia CONDOM mara 10 tu
mara 7 nilizivua njiani ni mara tatu pekee ndio nilienda na CONDOM mpk mwisho nikatoa wazungu
yaan na CONDOM naweza nikapiga demu hata saa nzima wazungu hawaji yaan unahisi mpk kende zinataka kukatika mana unapiga hisia hakuna
tendo la kufurahi sasa tabu ya nini kujinyima utamu na CONDOM napiga kavu tu potelea kote
mm siogopi UKIMWI
Mimi ni mtu mmoja wa HOVYO sana napenda KAVU KAVU ndio napata ile raha halisi
Umepima sasa...au unajimwambafai tu hapa?

Kavu kila mtu anapenda tatizo ni wale bacteria nyoko sana wakiingia kwa mwili
 
Poleni sana wafiwa hasa wale wanao mfahamu physical inaonekana alipitia hali ngumu sana kwenye safari yake ya maisha
 
Back
Top Bottom