MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Sema hata yeye alijichanganya kujistukia angeepotezea na kuendelea kuongea. Ingawa ukweli hakuna serikali sahivi, huo ndiyo ukweli watanzania sahivi km watoto yatima Rais siku hizi haongelei kabisa matatiz ya wananchi amejiweka mbali sana. Sasa hivi kila sehemu ni vilio kilo ya sukari sh 5000, karibu kila bidhaa imeongezeka bei. Wamiliki wa vyombo vya usafiri wamejiongezea nauli wanavyoona wao inafaa kuanzia asilimia 50 waziri Prof. Makame Mbarawa yuko km msukule hakuna siku amezungumzia changamoto ya usafiri na usafirishaji yuko pale kukinga pesa za miradi mikubwa km ujenzi wa SGR, Meli, Bandari, Viwanja vya ndege. Samia yuko kuiibia Tanganyika sijui km huu muungano utaendelea baada ya Samia! Na bado watazomewa sana
 
kwasababu watu walikua wana shangilia sanaaaa kupita kiasi
Huyu mwana FA mwijuma nani sijui. Ndo yule mwana siasa kijana aliyetajwa na prof Asad kwamba ana magari mapya ya kifahari . Unajua mjuba kayapata wapi anajua Samia na maigizo yake?
Swali. Na wale waliomzomea ni wanaharakati magaidi???
Huwezi kuuwa watu halafu uwasahaulishe kwa miziki ule ni upumbavu wa viongozi wa serikali za kiafrika.
Na wewe unanengua hapa kuandika ujinga
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1WdYeHkER5/
 
Kwa hiyo ikiwepo madarakani ndio nini? Kuwepo madarakani inahusiana na nini na kuzomewa mwana FA?
Kwenye siasa hilo jambo dogo mnooo, ni nyumbu tu kwakuwa mnatamani sana mabaya yatokee ndo mnakuza sana. Kina macron wamepigwa mpaka vibao na kurushiwa mayai, we unazungumzia zomea za nyumbu waliolewa?!!! Hata hivyo, hoja yake MwanaFA kuwa Kuna bonge la arena linajengwa imesikika na muda sio mrefu hiyo zomea ya nyumbu waliojipanga hapo ukumbini italipwa kwa vigelegele vya furaha siku ya kufunguliwa hiyo arena. Musiyempenda anaendelea kuvunja rekodi Moja baada ya nyingine........ni kumbukumbu nzuri mno baadae akishatoka; Kuna nyumbu kadhaa humu zitatamani Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, arudi tena.

Unauliza uwepo wa madarakani ndo nini'?!!! Jibu rahisi uwepo wa madarakani:-
- ndo mamlaka,
-ndo uwezo wa kuzuia nyumbu kuivuruga nchi kupitia ugashp wao unaoitwa maandamano,
-ndo maendeleo yanayopigwa,
-ndo uzuiaji wa ushoga wa unataka kuletwa kutoka ubelgiji n.k.
 
Boss wake samuya atanuna,watasusa kujenga na hiyo arena ya mchongo.
Wewee, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, siyo mshamba wa kuumizwa na kajambo kadogo kama hako, yule ni mtoto wa mjini kitambo na anazijua siasa enyi nyumbu muelewe. Mipango yake inasonga kama kawa hivyo nyumbu jiandaeni tu kuwa killed softly.
 
Unajidhalilisha bure tu kwa huu ujinga ulioandika hapa, Mwana FA kazomewa live hadi akaajistukia na kubadili gia angani wote tumeona na kusikia , unachofanya ni sawa na kukipulizia kinyesi manukato, wahenga tunasema la kuvunda halina ubani.
 
Walikua wanabubujikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…