kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,033
- 2,124
Acha uoga!! rudi hilo eneo kapige picha angalau tuone hao jamaa kama wanafanana na wanyarwanda😛😛😛Picha ulitaka na mimi nipigwe?
Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.
Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Kwa hiyo ukivunja utaratibu unapigwa?? Au sijaelewa unachotetea. Mleta hoja hajasema halikuwa kosa, kosa ni jinsi alivyodhalilishwa mhusika. Na jamaa akaenda mbali kusema huyo binti alionekana ni mgeni wa mkoani na huenda hajui taratibu za maeneo hayoHata nyumbani kwako kuna UTARATIBU, Eneo la Ikulu ni mwiko kupiga ONI au KUPIGA PICHA na kadhia za hovyo kama hizo za huyo Binti, na sio IKULU hata maeneo ya JESHINI.
Pale kuna Alama kabisa na Vibao vinavyo toa taadhali, cha kushangaa binti msomi kabisa mwenye uelewa wake hajaviona!!! Inabidi huyo binti akaangaliwe mpaka chuoni kwake maana nazani ana zaidi ya Masomo.
Maafande wanafanya kazi ya kulinda na hawajua Adui anakuja kwa rangi ipi so anastahili alichopata.
kitu ulichofanya ni UCHOCHEZI kwa sababu umeta UCHOCHEZI bila kujua na kufanya tathimini hivyo unaleta CHUKI bila sababu hivyo hata wewe unatakiwa uchukuliwe Hatua.
Sema hujui. Kuna maandishi ya kuzuia kupiga picha. Picha ya Kamera na mkato maana yake usipige picha.Hakuna maandishi yeyote kabisa nimeshangaa a
Mleta mada nadhani kuna wajinga kama yeye humu, Yeye kila kitu anadhani tuuujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
Kuna mtu anaweza kuwa muiba kwa mabeberu kweli. Hata kama kakosea hapaswi kudhalilishwa au huo ndio utaratibu wa kuvutwa nyweleKwani sheria inasemaje,si inakataza kufanya hivyo?Niseme kwamba walinzi wa Ikulu walikuwa kwenze harakati zao za kawaida za kutekeleza majukumu yao,kwa hiyo hawastahili kushutumiwa kabisa.Ifike mahali Watanzania tuheshimu sheria.Hawa walikuwa wanatekeleza sheria za nchi.Walinzi wa Ikulu wangejuaje kwamba huyo binti sio adui wa Taifa letu?Mtu yeyote anaweza kutumika kuidhuru nchi yetu pamoja na yeye,kwa hiyo ni lazima wawe makini hasa wakati huu ambapo mabeberu wamekazana sana kupaza sauti zao dhidi ya nchi yetu.Tukumbuke kwamba anayofanya Rais ni mwiba kwa mabeberu,mafisadi na wachumia tumbo wengine wote.
Ndo huyuWekamo na kapicha basi
Sheria haivunjwi kwa kuto kusema HUJUI. Uliza wana Sheria.. Pili uwezi kukosea Heshima Taifa lako kwa kusema Eti sijui walinzi ni wanajeshi wa Nchi jirani, huyo mleta mada kaleta mada KICHOCHEZI ana kesi ya kujibu. Muda huu ni kuelezana ukweli taratibu lazima zizingatiwe.Kwa hiyo ukivunja utaratibu unapigwa?? Au sijaelewa unachotetea. Mleta hoja hajasema halikuwa kosa, kosa ni jinsi alivyodhalilishwa mhusika. Na jamaa akaenda mbali kusema huyo binti alionekana ni mgeni wa mkoani na huenda hajui taratibu za maeneo hayo
Nikushukuru, sijui ni lini wabongo tutaweza kufikia hatua walizofikia wenzetu walioendelea siku nyingi, sioni kosa kupiga picha hapo, na kama kuna sharia yeyote ni lazima mamlaka waweke tangazo kuwajulisha wananchi, kwangu mimi nakiri kwamba ni shamba kuunga mkono vitendo vya hovyo vya polisi au walinzi kuwanyanyasa raia eti kisa kupiga picha, hivi pichi ikipigwa inampunguzia nini aliyepigwa, Pole yake mwanafunzi aliyepatwa masaibu hayo ya hawa wakora na pole kwa wanaounga mkono uharamia huoMkuu ishu siyo picha ishu ni kwamba ni wwapo panazuia msafara wa rais kupigwa picha?
Mbona kina Putin huku tunawapiga picha hawajawahi kumkamata mtu?
Mambo mengine ni ujinga na ushamba
Umeongea point tupu mkuuu safi sana, ndio maana nasema ana kesi ya kujibu kisha aone kaonewa.. Huu ni UCHOCHEZI wa wazi.Mleta mada nadhani kuna wajinga kama yeye humu, Yeye kila kitu anadhani tuu
1. Anadhani ni wa mwaka wa kwanza
2. Anadhani ni wa mkoani
3. Askari wana sura kama za Rwanda.
CC bar vichaa.
Uchochezi gani ?, hili swala la walinzi hao kuonekana kuwa sio raia wa tanzania limeanza kuongelewa siku nyingi, that means kuna ukweli ndani yake, anyway mimi sipo hapo but naamini waliokwisha kuwaona wanaweza ku-confirm, na kama hao walinzi ni raia wa Rwanda then kuna uchochezi gani watu wanaposema?, mnatamani sana kuwawekea watu plasta midomoni ?, tuache basi nidhamu za wogaSheria haivunjwi kwa kuto kusema HUJUI. Uliza wana Sheria.. Pili uwezi kukosea Heshima Taifa lako kwa kusema Eti sijui walinzi ni wanajeshi wa Nchi jirani, huyo mleta mada kaleta mada KICHOCHEZI ana kesi ya kujibu. Muda huu ni kuelezana ukweli taratibu lazima zizingatiwe.
Ukiwa mgeni sehemu kuuliza taratibu za sehemu uliyopo sio ujinga. Binafsi anastahili.. Kila mtu upewa anacho stahili, hata mimi nilishawahi kupewa Displin mwenge pale nadhani unapajua.
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Dhamana tumeipa wenyewe kwanini tuwe na Uoga? Binafsi naomba tuwe na Ueledi, Serikali yetu ni Serikali inayoitaji Pongezi nyingi, leo Simu yako inakupa mkopo na yote kwasababu Uchumi kuwa Imara, unapata muda wa ku coment na n.k Binafsi naomba tufanye kazi tuwe wabunifu na tupunguze matumizi tusiwe Negative au kupaka serikali matope.Uchochezi gani ?, hili swala la walinzi hao kuonekana kuwa sio raia wa tanzania limeanza kuongelewa siku nyingi, that means kuna ukweli ndani yake, anyway mimi sipo hapo but naamini waliokwisha kuwaona wanaweza ku-confirm, na kama hao walinzi ni raia wa Rwanda then kuna uchochezi gani watu wanaposema?, mnatamani sana kuwawekea watu plasta midomoni ?, tuache basi nidhamu za woga
Tupe picha basi au video yake akiteswaImeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja