Kawaida hata siaa ulimdharauKawaida hata siaa ulimdharau![/QUOT
Sijawahi kumdharau Slaa, kama kuna post yoyote niliyomdharau Slaa nitag. Huna jipya brother.
Hivi ukiwagomea kuruka kichura watakuua? Kuna haja ya kujitoa muhanga, unatembea japo na bisu, unahakikisha unamtweka mojawapo kwenye moyo na wewe wanakuulia mbali, hapo na wao watatia akili, oneni zakaria aliyowaadabishaIkulu yetu nayo ipo karibu mno na shughuli za raia wa kawaida; pale hata ukiwa unapita upande wa ukuta wakati unakwenda ferry jamaa wanakudaka aisee utaruka kichura hadi utapike msosi wa jana yake usiku.
A na B yote majibuujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
CDM walishawahi mvuta nywele bimkubwa wako?Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.
Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Sure bro tell herMkuu ishu siyo picha ishu ni kwamba ni wwapo panazuia msafara wa rais kupigwa picha?
Mbona kina Putin huku tunawapiga picha hawajawahi kumkamata mtu?
Mambo mengine ni ujinga na ushamba
Hivi ukiwagomea kuruka kichura watakuua? Kuna haja ya kujitoa muhanga, unatembea japo na bisu, unahakikisha unamtweka mojawapo kwenye moyo na wewe wanakuulia mbali, hapo na wao watatia akili, oneni zakaria aliyowaadabishaIkulu yetu nayo ipo karibu mno na shughuli za raia wa kawaida; pale hata ukiwa unapita upande wa ukuta wakati unakwenda ferry jamaa wanakudaka aisee utaruka kichura hadi utapike msosi wa jana yake usiku.
Ndiyo bibi wanazuiaDunia ya leo unazuwia mtu kupiga picha Ikulu?
Mkuu ilikuwa muda gani??Majuzi nilipita viwanja vya parade na kujipumzisha kivulini pale nyuma ya nyumba nyeupe nikatelemka na baharini fresh tu nikasepa na lami Hadi feri ila pametulia Kila mtu Ana mishe zake
Ungeenda pale magogoni ukawaambie wakuelewe ukipiga kelele hapa bro ni sawa na kukojoa mtoniNimalizie kwa kusema kitendo cha kumpiga na kumrusha kichura ni kumdhalilisha huyo binti na ni cha kishenzi, na wote wanaounga mkono hatua iliochuliwa na hao walinzi wakora nao awaunganisha nao, reasoning zero, hawana tofauti na mbwa koko
Mkuu hawa watu ukizijua saikolojia zao umewaweza sana na hakuna kugombana naoKweli nilitulia, nikamsikiliza, nikaomba samahani..akakoroma sana lakini nikamwambia tu mi mtu mzima nishaomba msamaha..
Saa 6 mchana Tena niliibukia ocen road hospital nikaambaa mpaka Kona pale nikaunga kulia mdogo mdogo Kama adventure Fulani sikufikiria kuulizwa chochote na mtu maeneo yaleMkuu ilikuwa muda gani??
roho za Kichadema hizi
Pole kwa binti mwanafunzi kwa yaliyomkuta..
Kwani wana matangazo ya kukataza watu kupiga picha?
Na wanaopita kwenye magari wanawakamataje?
Zile video wanazorushaga za wageni, shughuli etc na matukio kuna maeneo wanaficha hawaonyeshi au?
Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia.
nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia
Sura kama za kinyaruanda zikoje??Ujumbe wako utapuuzwa sababu ya ushabikiImeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Duh tumepita mengiNdio umeshauza Ng'ombe zako huko kijijini, ili umlete mwanao asome chuo kikuu dar, chukulia ndio MWANAO huyo kafanyiwa hivyo, akitoka hapo unajikuta inabidi upitishe MCHANGO ili umpeleke hospitali akatibiwe. Hapo hapo ushatiliwa ngumu katika MAFAO YAKO. Uliowachagua wakakuwakilishe BUNGENI ndo hivo tena wanaleta TAARABU kulinda Ugali wao.
Inasikitisha sana, mungu amsaidie[emoji17]
Mara Paap, binti wa watu ndio inatokea anarudisha namba kwa "Sir. God". Kesho magazeti dunia nzima lazima yaandike hio habari, vyuo vikuu mara utaskia wanafunzi wana andamana na kugoma, haki za binaadamu nao hawatataka wapitwe kutoa tamko, vyama vya upinzani nao ndio balaa.
Ni afadhali hata angepelekwa polisi kwa kosa hilo, kuliko kuchukua SHERIA MKONONI.
Au labda sheria inawapa ruhusa hio ya kupiga raia hao jamaa???? Japo sijawahi kuona sheria ya hivyo maishani.