ujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
kuna tofauti nyng kat ya bongo white house na orgnal white house.Mbona white house unaingia kabisa
Angewekwa Segerea kabisa Ikulu n mahali patakatifu sio pakuchezea photoImeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Bado walipoibwa kuku ikulu tulihoji uwezo wa ulinzi ikulu. Wanajitahidi kuimarisha ulinzi tunaita makatili. Wema uko wapi? Kila siku mlinzi akasimame mahakamni kumshitaki mpiga picha! Wakati mko mahakamani, picha zishatumika na kuleta madhara.Tangu lini mlinzi tena muafrika akatumia hata akili robo tu aliyopewa na Mungu?
Hakuna watu wapuuzi kama watu wanaoitwa walinzi wa maeneo nyeti, yaani watu weusi.
Ukiwaza ugumu uko wapi kumuonya tu kwa maneno? Halafu huu ukatili anauendekeza huyu Malaika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikulu yetu nayo ipo karibu mno na shughuli za raia wa kawaida; pale hata ukiwa unapita upande wa ukuta wakati unakwenda ferry jamaa wanakudaka aisee utaruka kichura hadi utapike msosi wa jana yake usiku.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]2020 twende na Membe.
Mambo yote haya yatakwisha...
Itakuwa ni mwendo wa Kazi na Bata.
Full kupiga piga mapicha green house kuanzia getini pale mbele mpaka kule nyuma usawa wa beach kule....
Hivi wale wauza karanga kutokea feri wa enzi za JK badogo wanaendaga kuwaonjesha karanga wale walinzi wa green house kama zamani??
2020 Twende na Membe.
Tutarudi kuuza karanga zetu
Ni mwendo wa kazi na bata tu.
Kazi ya fasihi yaweza kuwa na theme 1 au zaidi. Ni kazi kwako mchambuzi kudadavua
Mkuu ishu siyo picha ishu ni kwamba ni wwapo panazuia msafara wa rais kupigwa picha?
Mbona kina Putin huku tunawapiga picha hawajawahi kumkamata mtu?
Mambo mengine ni ujinga na ushamba
Unaendeleaje? Umetoka ICU? Hakikisha hawachukui simu yako.ujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
Unahakika kweli ni Wanyarwanda?Nilipochukia zaidi ni hapo ulipoandika kuna wanyarwanda wanalinda pale ikulu aiseee huyu jamaa hivi anawaza nini jamani kuweka mijitu yenye roho za mauaji kwenye ikulu yetu takatifu
Kwakweli hatufai asepe tu
Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia. Nakilichomkuta ni adhabu yake. Hivi kweli hajuwi pale watu hawapigi picha Acheni kuweka mambo yakipumbavu mkijuwa sheria hata mm nimesoma ifm hivyo wacha atolewe ushamba nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia maana ni haki yako. Nenda pale st peter upige picha ile ndege kwenye mzitu alafu ndipo uje kusema nn kitakupata
Nimewahi kupita lile eneo mara moja kuna mojawapo kati ya hizi alama mbili.Mkuu kuna maandishi yeyote hapo yanayokataza kupiga picha eneo hilo?
Kuna alama kama hii inayokataza kupiga picha. I'm sure 100%Hakuna maandishi yeyote kabisa nimeshangaa a
Mada inasema huyo binti kawapiga picha hao wanajeshi au kapiga picha maeneo ya ikulu?wanajeshi ktk shughuli zao wapige picha alafu wakikukataza waambie mbona hamkuandika marufuku kupiga picha?
Sawa mkuu,ila kama mtu akikiuka hayo makatazo adhabu yake ni ipi kisheria?Nimewahi kupita lile eneo mara moja kuna mojawapo kati ya hizi alama mbili.
Alichofanyiwa binti siyo sawa...
Lakini tujifunze pia kufuata sheriaView attachment 956417
White house tu marekan watu wanajiself nje sembuse uku bara la giza uzwazwa tu na ushamba
Mahakama ndio zi apaswa kutoa hukumu boss, obvious alichofanyiwa huyo dada ni udhalilishaji hata kama alikosea....Sawa mkuu,ila kama mtu akikiuka hayo makatazo adhabu yake ni ipi kisheria?