TANZIA Mwanafunzi wa mwaka wa Pili wa Chuo cha Misitu auawa kikatili

Mnaongea mengi pasi na kujua tabia halisi za wachagga.

Ubakaji ni tabia iliyodumu sana miaka ya 80 mpaka 90/ huko uchagani. Walibakwa mpaka vibibi wa miaka 70 , kisha kuuwawa na macho kutobolewa na vitu vya ncha kali.

Kwaiyo wandugu hii ni tabia tu ya vijana wanapoona hawana uwezo au hadhi ya kumpata binti wanaweza kumbaka na baada ya kubaka huogopa kujulikana ndipo wanamuua.

Sio kwamba binti alikua na mahusiano ama alikula vya watu
 
For sure
 
Wanafunzi someni ndo kilichowapeleka huko vyuoni na starehe mtazikuta kuweni wavumilivu. By the way uchunguzi uanzie kwa waliotoka nae ili waseme waliachana nae vipi au na wa mwisho kumchukua. Ina lillahi wa ina ilayhi rajiuna.
Unaweza kuta unajilaumu Sana kwanini moyo ulisita kutoka lakini ukajilazimisha kea kuwasikiliza wenzio . Very sad na itawasumbua Sana wenzie hata Kama hawakuhusika.
 
Ametobolewa na ncha kali na pia amefanyiwa ukatili. Kwa hiyo kutobolewa na ncha kali sio ukatili.
 
Acha tuu.. Gari imeibiwa usiku Mwenyewe anasema ameamka saa 9 kuchungulia dirishani ipo.. Ile analala tena kuamka asubuhi saa 1 akadhani anaota..

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah hapo ndipo huwa namkubali mbwa aisee, nina mbwa wangu 4, kuna mmoja anapanda juu ya fensi anatulia tulii, sasa jichanganye usogelee geti... Au kama nimepitiwa na usingizi mzito halafu mtu asogelee ukuta au geti yaani watakavyobweka lazima utaamka. Wanabweka huku wanakuja dirishani na kubwekea hapo...
 
RPC anataka kumuuzia mtu kesi hapo. Eti "tunashilkilia simu za marehemu ili tumkamate aliyewasiliana naye kwa mara ya mwisho" So sad.

Intelejensia ya Tanzania ni kama ramli za waganga wa kienyeji. Full kubahatisha!
...Nami nimepashangaa halo. Ameokotwa korongoni akiwa uchi!
Hizo simu zimepatikana wapi?
Wauaji wake walimtupa na pochi lake lililokuwa na simu zake?
Hili so likuwa jambo LA kunyamaza na kulifanyia kazibkimya kimya ili wauaji wasishituke mapema??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…