Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano

Kwa mini haya mambo ya watu kutekwa na kuuwawa,yameshamili sana awamu ya bwana huyu.
 

Punguani wa mapambio wako wapi?

CCM minions endeleeni kimwabudu Jiwe!
 
kama walifunga simu zake zote alipigaje Voda? kaazi kwelikweli

Mzee mbona unakua kama hujawahi tumia simu za haya mashirika?

Tangu 1992 yapo!

Unatumia namba nyingine unaulizia kwanini namba yako imefungwa!

Na unaenda shop zao zozote na kitambulisho unaulizia kwanini wanakupa sababu!

Easy!
 
Halafu kuna amiri jeshi mkuu aliyeapa kulinda usalama wa raia na Mali zao ,kuna vyombo vya dola vya kumsaidia ,uwt ,polisi jeshi ,magereza ,uhamiaji ,kikosi cha rais .Siyo bure ,halafu amiri jeshi mkuu hajawahi kukemea haya natukio hata maramoja toka yameanza Kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…