Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli katika awamu hii uovu umetamalaki nchini na mpaka hapo tunakubaliana ingawa kuna maswali yanayojitokeza; Je;Uovu ni uovu na kamwe sijawahi kuutetea! Kutumia uovu kwa sababu yoyote ile daima ina mwisho mbaya.
TCRA inafata maelekezo kutoka "JUU" kwa "FUTURE PRISONER"Ukiachana na hili la kuvuja sauti za kina Nape, Membe, Kinana na wengineo nimeshtushwa na kutekwa kwa mwanahabari za kiuchunguzi Erick Kabendera. Taarifa zinasema alizimiwa mawasiliano kabla ya kutekwa kwake na walipowapigia Voda kwa namba nyingine kujua sababu waliambiwa wameamriwa kuzima mawasiliano na mamlaka ya mawasiliano TCRA...Wapi tunakwenda kwa style hii? Hate sauti za kina Membe, Nape, Makamba Jr na Sr na wengineo hazikupaswa kuletwa kwetu baadala yake zingepelekwa kwa mamlaka husika kwa ajili ya hatua Zaid na sio kuzidisplay kwetu. Madhara ya hayo myafanyayo TCRA ni makubwa Sana kwa taifa....
Vodacom wamevunja sheria za mawasiliano za kitaifa na kimataifa.
wanavujisha siri za wateja na mazungumzo.
mtu akitaka siri zako, mkeo na mazungumzo yenu anapata, wachilia mbali mabenki yanampa jiwe taarifa za akaunti ya kila mtu.
salama yako ni kujiunga tweeeter, fb na insta, piga watsup call, VUNJA LINE YA VODA, basi
alikuwa ametekwa.Kumbe kakamatwa mbona mlitudanganya kuwa ametekwa?? Yaani siku hizi JF limekuwa jukwaa za uongo uongo!!
Unaamini ktk nadharia ya uwepo wa wasiojulikana?Nina Iman na Uimara wa majeshi yetu, haiwezekani watu wasiojulikana hawajajulikana mpka leo.
"If you can't defeat them, join them"
Au ndio wamewajoini?
Acha uongo kama mpaka wananchi walikuwapo na kiongozi wa mtaa kama ulivyosema hapo juu kweli utasema wasiojulikana kwelialikuwa ametekwa.
tulipoanza kelele "wasiojulikana" wakajishitukia na kujitokeza.
na sasa it's official - the previously so called "wasiojulikana" sasa wanajulikana!
Ni TTCLBest way to attack ni kuutaja mtandao husika na kampeni ya kutupa line zao kuanzishwa
habari ndiyo hiyo.Acha uongo kama mpaka wananchi walikuwapo na kiongozi wa mtaa kama ulivyosema hapo juu kweli utasema wasiojulikana kweli
Yaani Siku hizi hata MTU akikamatwa kikawaida bado mtasema katekwaMWANDISHI wa habari za kiuchunguzi, Erick Kabendera, amevamiwa na “watu wasiojulikana,” nyumbani kwake Mbweni, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Kabendera, leo jioni watu kadhaa wakiwa na magari, walivamia nyumbani kwake na kuzingira nyumba hiyo na kuzuia mtu yeyote kuingia.
Anasema, kabla ya hapo, simu zake zote zilifungwa; na alipopiga simu Vodacom aliambiwa kuwa hayo ndio maelekezo waliyopewa na Mamlaka ya Mawasiliano ya taifa (TCRA).
Naye mtoa taarifa mmoja ameliambia MwanaHALISI ONLINE, kwamba “…inawezekana wamemchukua tayari; sababu hata simu za ndani ya nyumba hazipokelewi.”
Kabendera ni mmoja wa waandishi wa habari nchini anayeandikia magazeti mbalimbali, likiwamo gazeti la Africa Confidential linalochapishwa Uingereza.View attachment 1166472
Mbona Lema aliitaja voda na kamanda wenu mange akawaanziashia kampeni mkaishia patupu?Best way to attack ni kuutaja mtandao husika na kampeni ya kutupa line zao kuanzishwa