MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Lakadiriwa kufikia takribani Trilioni 104

Ni ongezeko la zaidi ya bilioni 600 kwa mwezi

Kila Mtanzania anadaiwa karibu milioni 1.7


1697060823511.png
 
CCM ni mashetani wakubwa.
Yaani iwe jua au mvua hilo deni haliwezi kulipika milele, litazidi kuongezeka maradufu na lazima rasimali zetu ziwekwe rehani kuweza kufidia. Kwa kifupi sana watanzania tumeuzwa kiujumla jumla.

CCM ilaaniwe.
Ilaaniwe sana.......pesa wanazokopa wanalipana na akina Steve😆😆
 
Ndugai alipoonya serikali juu ya kuchukua mikopo kila kukicha, mlimtemesha uspika wake. Hangaikeni na deni hilo sasa
Alikuwa na makando kando yake ingawa alisema ukweli.

Ile aggressiveness aliyochukuliwa ilikuwa ni wakeup Call kwa viherehere wengine.......look now Ms Ndiyo ndiyo kutoka Kule majina yanakoanza na Mwa....mwa....
 
Juzi ametembea Swedeni hadi Spain Dr Madelu itakua aliambulia patupu sasa wameenda Kubahatisha Bombay.
Kubahatisha nini Bombay wakati Bombay kaenda kwa mwaliko wa Kitaifa na mizinga 21 kapigiwa?

Na tuzo ya shahada ya heshima kapewa Honoris Causa, ambayo imevunja rekodi ya Nyerere. Nyerere ilichukuwa miaka 24 kuonekana, mama imechukuwa miaka miwili na nusu tu.

Mama anaupiga kuliko messi ikija kwenye uongozi uliotukuka.
 
Lakadiriwa kufikia takribani Trilioni 104

Ni ongezeko la zaidi ya bilioni 600 kwa mwezi

Kila Mtanzania anadaiwa karibu milioni 1.7


View attachment 2779419
Nimeanza kulisoma gazeti hili nikiwa shule ya sekondari na kujifunza kitu:

✓Kila serikali inapokuwa na ziara za nje wao hutoa takwimu za deni la nje rejea safari za nje za utawala wa awamu ya 4....hapa namaizi Jambo kuwa ni WAZUA TAHARUKI NA NI WAGOMBANISHI.

✓Kila serikali inapopiga hatua za kiuwekezaji wao huja na ngonjera tofauti na kuibua malalamiko.....

Deni la nje linatokana na kukopa kwa ajili ya miradi ya MAENDELEO....Tanzania hatujafika CAP* ya kutotakiwa kukopa kwa kuwa na kiwango cha DOLA chini ya 1% ya hifadhi yake......

Mathalani taifa kubwa DUNIANI linaongoza duniani kwa kuwa na madeni makubwa ya nje....

#Samia na 4R's[emoji7]
 
Back
Top Bottom