MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

Desemba 2011= 2469.70 USD MILLION.

May 2023 = 30533.10 USD MILLION.

Source : tradingeconomics.com

Nchi inakuwa kuna miradi ya SGR , BWAWA LA MWALIMU NYERERE n.k
 
Rais kaenda India na mawazir 9.? Kweli CCM imetuchoka. serIkali yote ipo india
Mbona kaenda kimasikini sana, serikali zingine mwaliko wa Kiataifa inakwenda cabinet yote.

Ndege 10 mpaka 20 na zaidi. Mpaka magari ya Raisa huwa yanaenda kwa ndege. Tanzania kwenda mawaziri 9 mnalalamika, badilikeni, hii nchi haitafunguka mkiwa na mawazo ya kimasikini.

Think big to be big.
 
Mwanahalisi waelewe haya mambo.....

✓Unapokopa unawekeza katika miradi inayozalisha zaidi kuliko ile gharama ya kukopa(cost of borrowing).

Ukiangalia takwimu kutoka DESEMBA 2011 tulikuwa na deni la Chini (dola milioni 2469 hivi) na JULAI 2023 yaani miaka 12 baadaye (dola Milioni 30533 hivi)....

Tusisahau riba ya mikopo hiyo(interests rates)....

Kwa siku za karibuni tuna MIRADI MIKUBWA ambayo bado haijaanza KUTUREJESHEA FAIDA (SGR , BWAWA LA MWALIMU JKN,etc).

#SiempreJMT[emoji120]
 
Mbona kaenda kimasikini sana, serikali zingine mwaliko wa Kiataifa inakwenda cabinet yote.

Ndege 10 mpaka 20 na zaidi. Mpaka magari ya Raisa huwa yanaenda kwa ndege. Tanzania kwenda mawaziri 9 mnalalamika, badilikeni, hii nchi haitafunguka mkiwa na mawazo ya kimasikini.

Think big to be big.
Serikali gan masikin inafanya huo upumbavu. Unaifananisha Tanzania na nchi zilizoendelea? Pumbavu kabisa. No Wonder mkaona na Steve nae aende.
 
CCM ni mashetani wakubwa.
Yaani iwe jua au mvua hilo deni haliwezi kulipika milele, litazidi kuongezeka maradufu na lazima rasimali zetu ziwekwe rehani kuweza kufidia. Kwa kifupi sana watanzania tumeuzwa kiujumla jumla.

CCM ilaaniwe.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
Kwanini haliwezi kulipika ?!!!

Lini nchi zililipa madeni yake yote ?!!!

Unajua hata makampuni makubwa duniani yametopea kwa kuwa wadeni SUGU Japokuwa wanapata faida kubwa kibiashara.....

Marekani ndiyo NCHI inayoongoza kwa deni la nje......

Kwetu ikikamilika SGR uchumi utasisimka......

Kwetu likikamilika BWAWA LA MWALIMU NYERERE tutakuwa na megawati 2215 utaiona faida yake....
 
Back
Top Bottom