MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

Mada gani mpuuzi wewe? una sifia ujinga tupu, waache kupewa PhD za heshima akina Biden, Netanyahau, Ramaphosa, Xi Jinping, Emmanuel Macron apewe bibi tozo kwa kukata umeme, maji, kukosekana dola, petrol kupanda kwa gharama za maisha n.k, hivi huwa mnatumia akili kweli nyie? umesema Nyerere hakupewa PhD ya heshima, Mwl hakupenda sifa za kipuuzi ndiyo maana hakuwai kuitwa Mhe wala Dr alipenda kuitwa Mwl au Ndugu. Nyerere alichukia rushwa kwa vitendo ndiyo maana hata familia yake hakutaka kuipendelea kwa chochote, sahivi nchi inaongozwa na Abdul
Hayo mengine endelea kubwabwaja, kuhororoja na kubweka, siyo mada iliyopo hapa.
 
Kapigiwa mizinga kwa kuuza Bandari kwa Waasia wenzie.
Kubahatisha nini Bombay wakati Bombay kaenda kwa mwaliko wa Kitaifa na mizinga 21 kapigiwa?

Na tuzo ya shahada ya heshima kapewa Honoris Causa, ambayo imevunja rekodi ya Nyerere. Nyerere ilichukuwa miaka 24 kuonekana, mama imechukuwa miaka miwili na nusu tu.

Mama anaupiga kuliko messi ikija kwenye uongozi uliotukuka.
 
Mkuu ili tuwe na uelewa wa pamoja ungeweka takwimu ya kila mwaka kutoka 2011 hadi 2023 ukiambatanisha matumizi yake.

Kwa namna ulivyo weka taarifa yako ni rahisi wengi wetu kudhani kuwa deni lote hilo limeongezeka katika awamu ya 6 tu. Jambo ambalo sio sahihi.

Ukianisha mkopo na matumizi yake kwa kila mwaka tutaweza kuonana ni wapi kasi ilianza kujitokeza kwa kulinganisha matumizi yake.

Kwa kufanya hivyo tutaweza kutoa fair judgment!
Sawa kabisa.
 
CCM ni mashetani wakubwa.
Yaani iwe jua au mvua hilo deni haliwezi kulipika milele, litazidi kuongezeka maradufu na lazima rasimali zetu ziwekwe rehani kuweza kufidia. Kwa kifupi sana watanzania tumeuzwa kiujumla jumla.

CCM ilaaniwe.
LUkas unaitwaaaaa hukuu njooo
 
Umeme tunagawana kwa sababu ya zile mashine....tulikubaliana "kila kikiuma kichwa" TUMEZE PANADOL....

Suluhisho la kudumu ni APRIL 2024[emoji120]
Ndoto za mchana hizi eti Suluhisho la kudumu ni April 2024,hata gesi ya Mtwara mlijitapa hivi hivi na mkasema kukatika katika kwa umeme Tanzania itakuwa historia,gesi hiyo ilishabinafsishwa na umeme unakatika kila siku kwa masaa kumi na nne.
 
Lakadiriwa kufikia takribani Trilioni 104

Ni ongezeko la zaidi ya bilioni 600 kwa mwezi

Kila Mtanzania anadaiwa karibu milioni 1.7


View attachment 2779419
Naamini deni ni kubwa lkn. bado ni stahimilivu(resilient)! tatizo letu kubwa ni kufananisha deni la taifa au uhai wa taifa na mtu binafsi. wapo wanaoamini siku moja tutafugwa jela, kufilisiwa au taifa kupigwa mnada kwa sababu ya deni, Ndio maana hata kwenye uwekezaji wa bandari kule Bagamoyo wasomi wetu walikua wanahoji 'miaka 99! ,si sote tutakua tumekufa?
 
Back
Top Bottom