MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

Kwa hiyo na huyo tapeli wa IPTL singa kanjubai analipwa ma trilion?
Af hapa kipawa tumehamishwa zaidi ya mwaka wa kumi huu hatujalipwa fidia.
R.I.P Magufuli, walikusingizia umeiba trilioni 1.5 leo wao wanalipana zaidi ya hizo kwenye kesi za michongo.
Screenshot_20231011-142803.jpg
 
Mbona kaenda kimasikini sana, serikali zingine mwaliko wa Kiataifa inakwenda cabinet yote.

Ndege 10 mpaka 20 na zaidi. Mpaka magari ya Raisa huwa yanaenda kwa ndege. Tanzania kwenda mawaziri 9 mnalalamika, badilikeni, hii nchi haitafunguka mkiwa na mawazo ya kimasikini.

Think big to be big.
Usiige tembo kuny* **** makubwa utapasuka msamba.
Mbona hamuigi kumtengenezea ndege na magari is kila kitu cha kuiga?
 
Kwa hiyo na huyo tapeli wa IPTL singa kanjubai analipwa ma trilion?
Af hapa kipawa tumehamishwa zaidi ya mwaka wa kumi huu hatujalipwa fidia.
R.I.P Magufuli, walikusingizia umeiba trilioni 1.5 leo wao wanalipana zaidi ya hizo kwenye kesi za michongo.View attachment 2779616
Mnamuonea Singasinga,yeye ni muwakilishi wa Majambazi ya nchi hii chini ya mkubwa wao Bagamoyo.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
CCM ni mashetani wakubwa.
Yaani iwe jua au mvua hilo deni haliwezi kulipika milele, litazidi kuongezeka maradufu na lazima rasimali zetu ziwekwe rehani kuweza kufidia. Kwa kifupi sana watanzania tumeuzwa kiujumla jumla.

CCM ilaaniwe.
Nakumbuka yule kijana Samwel Doe alipokuwa mwanamapinduzi na kuchukua nchi aliwatundika kwenye miti mawaziri wezi na mafisadi na kuwalamba shaba hadharani.
Bahati mbaya naye aligeuka kuwa dikteta na akauwawa kifo cha aibu.
Nimetoa mfano huo ili viongozi wajiepushe na kudharau na kufanya watakayo kwani yaweza kuwatokea one day
 
Kopeni sana ila msije uza ardhi ya wilaya ya Mbarali kwa kizingizio cha ranch
Ipo haja ya kupitia tena mitaala yetu ya elimu! sisi watanzania hujui aliyesoma wala asiyesoma, sote akili zetu zimeunganishwa na ardhi! watu wanaamini ardhi ndio utajiri, inaweza kua hivyo kama tu itasimamiwa vizuri na kuendelezwa kwani udongo wenyewe hauliwi! sisi ardhi yetu haina zaidi ya kutuletea laana, Ardhi kubwa, uhaba wa chakula ardhi kubwa migogoro ya wakuliwa na wafugaji si bora hizo nchi ndogo kama Rwanda burundi etc hatusikia hayo!
 
Back
Top Bottom