MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

Desemba 2011= 2469.70 USD MILLION.

May 2023 = 30533.10 USD MILLION.

Source : tradingeconomics.com

Nchi inakuwa kuna miradi ya SGR , BWAWA LA MWALIMU NYERERE n.k

Mkuu ili tuwe na uelewa wa pamoja ungeweka takwimu ya kila mwaka kutoka 2011 hadi 2023 ukiambatanisha matumizi yake.

Kwa namna ulivyo weka taarifa yako ni rahisi wengi wetu kudhani kuwa deni lote hilo limeongezeka katika awamu ya 6 tu. Jambo ambalo sio sahihi.

Ukianisha mkopo na matumizi yake kwa kila mwaka tutaweza kuonana ni wapi kasi ilianza kujitokeza kwa kulinganisha matumizi yake.

Kwa kufanya hivyo tutaweza kutoa fair judgment!
 
[emoji106][emoji106]
Hakika mkuu....

Ni kweli kabisaa[emoji106]

Takwimu ya mwaka 2023 inawakilisha deni letu lote kutoka desemba 2011........
 
Hiyo si sababu ya kuendelea kukopa kwamba eti hatujafikia kiwango? Seriously?
Kukopa ni sifa nzuri sana?

We should focus kupunguza kutegemea mikopo. Uchumi huwez kukua wkt nyuma una holes kubwa tu called mikopo
Huwezi kupunguza mikopo wakati bado hauna vyanzo vya kutosha vya kuiingizia nchi pesa.

Hii nchi iliwekewa misingi mibovu sana ya kiuchumi toka awamu ya kwanza. Mwinyi Mkapa na Kikwete walijitahidi sana, kila mmoja kivyake kuweka mambo sawa, yakaanza kuelekea kuwa vizuri sana, akaja mwendazake, kafumua fumuwa na kuharibu kila kitu, ndani ya muda mfupi sana.

Sasa japo tunaona mama Samia anajitahidi kuiweka sawa mifumo iliyofumuliwa. Tutegemee mema, lakini kuhusu madeni ni lazima tukitaka tusitake, hatuwezi kuyaepuka kwa sasa.
 
Nakuunga mkono mkuu.
 
Swadakta!
 
Kubahatisha nini Bombay wakati Bombay kaenda kwa mwaliko wa Kitaifa na mizinga 21 kapigiwa?

Na tuzo ya shahada ya heshima kapewa Honoris Causa, ambayo imevunja rekodi ya Nyerere. Nyerere ilichukuwa miaka 24 kuonekana, mama imechukuwa miaka miwili na nusu tu.

Mama anaupiga kuliko messi ikija kwenye uongozi uliotukuka.
We ajuza huna akili, unaupiga mwingi kwa kukata umeme, maji, kukosa dola na petrol? Rais wa India mwenyewe hajawahi kupewa hiyo PhD ya maigizo maana anajua ni sifa za hovyo tu ambazo hazina maana yoyote
 
Mada hapa umeiona? Au umekurupuka tu?

Hayo mengine au ifate mijadala yake ipo hapa JF au fungulia mjadala mpya, usirukie mada zingine ukaharibu mada ya watu. Heshimu mada za watu.
 
Mada gani mpuuzi wewe? una sifia ujinga tupu, waache kupewa PhD za heshima akina Biden, Netanyahau, Ramaphosa, Xi Jinping, Emmanuel Macron apewe bibi tozo kwa kukata umeme, maji, kukosekana dola, petrol kupanda kwa gharama za maisha n.k, hivi huwa mnatumia akili kweli nyie? umesema Nyerere hakupewa PhD ya heshima, Mwl hakupenda sifa za kipuuzi ndiyo maana hakuwai kuitwa Mhe wala Dr alipenda kuitwa Mwl au Ndugu. Nyerere alichukia rushwa kwa vitendo ndiyo maana hata familia yake hakutaka kuipendelea kwa chochote, sahivi nchi inaongozwa na Abdul
 
CCM ni mashetani wakubwa.
Yaani iwe jua au mvua hilo deni haliwezi kulipika milele, litazidi kuongezeka maradufu na lazima rasimali zetu ziwekwe rehani kuweza kufidia. Kwa kifupi sana watanzania tumeuzwa kiujumla jumla.

CCM ilaaniwe.
We ACHA tu ndio maana wanauza bandari,watauza Kila kitu,wananunua magari ya kifahari ,wanatumia hela za umma kusafirisha wasanii eti WAKAJIFUNZE India,taifa limesha piga magoti
 
Back
Top Bottom