Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu tuLakadiriwa kufikia takribani Trilioni 104
Ni ongezeko la zaidi ya bilioni 600 kwa mwezi
Kila Mtanzania anadaiwa karibu milioni 1.7
View attachment 2779419
Kama wewe ni mwanamke uliyezaa, hivi hauna uchungu na watoto watanzania wajao na vizazi vyao!!? Unaweza kufanya dhihaka au kutetea hali hii Dada/Mama yangu!!?Kumbe mama ana power. Sikufahamu kama ana uwezo wa kumtemesha mtu uspika.
Alivunja katiba kwenye hilo?
Vizazi vya sasa hivi visisome? Visile, visitibiwe, visisafiri?Kama wewe ni mwanamke uliyezaa, hivi hauna uchungu na watoto watanzania wajao na vizazi vyao!!? Unaweza kufanya dhihaka au kutetea hali hii Dada/Mama yangu!!?
Wa TZ hatutaki ukweli🤣🤣🤣🪑Ndugai alipoonya serikali juu ya kuchukua mikopo kila kukicha, mlimtemesha uspika wake. Hangaikeni na deni hilo sasa