econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Naamini deni ni kubwa lkn. bado ni stahimilivu(resilient)! tatizo letu kubwa ni kufananisha deni la taifa au uhai wa taifa na mtu binafsi. wapo wanaoamini siku moja tutafugwa jela, kufilisiwa au taifa kupigwa mnada kwa sababu ya deni, Ndio maana hata kwenye uwekezaji wa bandari kule Bagamoyo wasomi wetu walikua wanahoji 'miaka 99! ,si sote tutakua tumekufa?
Hatutaki mambo ya Sri Lanka hapa.