Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Alooh nimeogopa sana Mungu ibariki Tanzania!
Unaogopa nini?

Hofu kama hii ndio imekuwa ikiwapa ccm advantage kwa miaka mingi sana dhidi ya sisi raia.

Wewe kaa tayari kwa ukombozi na kuiona Tanzania mpya.

Na kama wewe ni mnufaika wa serikali hii dhalimu inayonuka ufisadi na rushwa za kila aina, basi pole yako buyu la asali linaelekea kukauka
 
Hahaha na watanzania walivyo wajinga ukisoma comments wameamini kwamba tesha ni capten jeshi
Kama umekili kuwa Watanzania ni wajinga, je weye ni wa nchi gani yahee?😎
We ulichokiona hapo ni hereni tu sio?

Hujaona mambo ya fong sai yuk hapo?

Hujaona snake in the eagle shadow?

Hujaona mambo ya Tai Chi Master hapo?

Hujaona?
Atayaonea wapi hayo chawa huyo
 
Tulia wewe mla urojo.. wewe ndio unaleta maneno ya taarabu ya huko kwenu Pwani.

Mwisho wenu umefika, mwambie mama ako aanza kukusanya vilago vyake akajifiche huko kizimkaz... maana hana tena maisha marefu hapa Tanganyika.
 
 
Hii haijawahi kutokea mchini! Labda wanansiada na jeshi waje watuambie kama huyu Kamanda siyo Mzalendo wetu. What a Hero!!! Hongera sana Captain kwa kujitoa mhanga kulikomboa hili Taifa linalochezewa na wapuuzi wachchae kwa matakwa yao.
Kabla hujamuita huyo unayemuita naomba unitie kwanza Lucas Mwashambwa aje hapa atueleze je, samia suluhu hasan ambaye tumeaminishwa kuwa ni kipenzi cha watanzania ndio huyu anayeongelewa hapa na Capt.Tesha?

Hebu muite
 
 
Jiandae kwenda kusikiliza kesi yake ya uhaini ila kwa ulivyo muoga hata mahakamani hautaenda utaendelea kujificha juu ya dari kama unavyofanya kwenye kesi ya lissu
Hahahahh.. hebu acha nicheke kwa dhara kama mjusi kafiri

Mbwa wewe, unafikiri ni rahisi kama unavyosema hapa?

Kwamba Captain wa jeshi amekurupuka ehee?

Unadhani yuko peke yake eeh?

Unadhani huyo mtamkamata tu kama mnavyowakamata wanasiasa wa vyama pinzani mkitumia policcm wenu?

Ulifikiri baada ya mama ako fisadi samia kumweka mfukoni CDF mkunda basi wazalendo ndio wameisha eehee?

Haya nendeni mkamkamate captain wetu Mzalendo Tesha kisha mumpe kesi ya treason uone kama nchi itatawalika hii.
 
Watanzania bana.ANYWAY tule nyama,mtori tutaukuta chini.Hivi attention span ya mtanzania ni siku ngapi?
 
Umeona wanaume wenzio marijali we chawa?
Huyo hata akisema ananifungia ndani sibishi na pichu namsaidia kuvua mwenyewe 😹😹😹

Machawa anzeni mazoezi mwambie na mwenzio Mwijaku kile kitambi tutakitumbua km jipu na spoku 🤣
 

Attachments

  • VID-20250704-WA0000.mp4
    8.2 MB
Nafikiri wajeshi watakao kuwa na Samia ni wale wachache wenye vyeo vya juu kabisa. Lakini wanajeshi wa kawaida nafikiri hawafurahishwi na wahuni.

Polepole anawaomba Samia ajiuzulu. Captain Tesha ameenda mbali zaidi na kimamlaka kabisa akisisitiza wakamatwe. Wanatoa maelekezo
kwa jeshi, vyombo vya usalama walinde ushahidi na Kikwete, Abdul, Kizigha, Rostam wote wakamatwe na kuwekwa chini ya ulinzi na jeshi.

Sina shaka wanajua wanaback up kubwa ya wazalendo ndani ya taasisi na kwa Watanzania kwa ujumla.
 
Tulia wewe mla urojo.. wewe ndio unaleta maneno ya taarabu ya huko kwenu Pwani.

Mwisho wenu umefika, mwambie mama ako aanza kukusanya vilago vyake akajifiche huko kizimkaz... maana hana tena maisha marefu hapa Tanganyika.
Wewe kumbe ni makalio, wa kunifananisha mimi na ccm!, unapo palamia watu kuwajibu uwe unatumia akili siyo unaendeshwa na mihemko...
 
Leo nina furaha sana

Mods iachane hivyo hivyo comment yangu

Mods wa humu kuna muda wanakuwaga wacenge wacenge tu bila sababu...
Aisee acha kabisa mwanangu unishindi mimi kuwa na furaha, yaan nina furaha kinyam hata kama hii action ya huyu mjeda hapa haitatufikisha kwenye nchi ya aahadi siku za karibuni, ila tayari ni mwanga wa ukombozi.

Hapa sasa hivi nimeagiza kitimoto kavu kama kilo 2 naitafuna mimi mwenyewe tu.
 
Wameipita comment yangu wameondoa maneno ya kibusara
Your browser is not able to display this video.
 
Watamndugai soon,ila uoga unaponza sana
Hisia zangu zinaniambia nyie wote mnaosema hivi, kimoyo kimoyo mnaombea iwe hivyo kwamba wamuue...

Na hii ni kwa sababu ya hofu mliyonayo ambayo nyie wenyewe hamuwez kuilezea, ila mnaogopa utawala mpaya tofauti na huu mliouzoea...

Lakin yote hii ni kwa sababu mmeshaozoea kusuffer chini ya utawala wa ccm hivyo mna kitu kinaitwa stockholm syndrome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…