Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Jamaa atakamatwa leo usiku,atapelekwa kwenye mahakama za kijeshi,kosa lake ni uhaini na kuota taarifa za uongo au apotezwe kama akina Ben saanane.
CCM wameshasema hivyo kinachofuata niutekelezaji,tunzeni komenti hii kesho tukutane tena!
 
Kikwete nae Alikua mwanajeshi... Lakini anaibagaza na kuitapeli nchi
 
Jamaa atakamatwa leo usiku,atapelekwa kwenye mahakama za kijeshi,kosa lake ni uhaini na kuota taarifa za uongo au apotezwe kama akina Ben saanane.
CCM wameshasema hivyo kinachofuata niutekelezaji,tunzeni komenti hii kesho tukutane tena!
We don't care akifa au akiishi, alafu nani kasema yuko Tanzania

Kazi yake imeisha and facts on the Ground zimeshakuwa
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Mkuu kuongozwa kijeshi sio burudani hivo kama tunavyofikiria, unadhani kwenye machafuko nchi zingine zilifikaje??
Napenda utawala wa amani na haki.
Pia niombe radhi siwezi kua mnufaika wa wauwaji mimi kamwe 😡
 
Hii ni alama ya hatari sana Kwa chura kiziwi huyo jamaa mpaka amejilipua hivyo maana yake ana watu nyuma yake Tena wenye mafunzo wakifukuzwa wakaingia mtaani ndio mwanzo wa vikundi vya kuipinga serikali vinazaliwa
Exactly ndo maana huko juu nlisema sijui nofurahi au nihuzunike. Wana mtandao watuachie nchi yetu jamani kwani mapesa yote walojilimbikizia hayawatoshi.
 
Baada ya kumsikiliza mwamba CAPTAIN TESHA....Fasta nimetamani kuona yule kamanda mshenzi aliyesema sativa katekwa na washkaji,,, akipata KIBANO KITAKATIFU hiyo tarehe 29 oct...tena ikiwa ina rekodiwa live.....Eeee mwenyezi Mungu nisaidie ili tamanio langu litimie nitakutolea sadaka ya shukurani

NB;pia nina mengine mawili yakuwasilisha nitarudi kama CAPTAIN TESHA TRAORE kuahidi kurudi part2
 
Ntaenda zangu kupiga masarakasi kwenye ile garden ya ikulu kwa mara ya kwanza huku nikipigwa picha na kuchukua selfie
 
Muliro unamlaumu bure.
Unafikiri uzee ule anapenda kupoteza ugali wa wanawe na mafao ya kustaafu akikaidi maelekezo kutoka juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…