Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Haya tena, hatujui kesho ataibuka nani, FFU, UHAMIAJI, MAGEREZA AMA MGAMBO?
 
View attachment 3483366

YAWEZEKANA jamaaa ametumia njia hii kupush agenda zake za kisiasa akidhan ndo njia sahihi ila effects zake ni mbaya sana, Busaara tu itumike kwa mwamba maaana akipatikana na alivokua anampa maagizo CDF naishiwa pawa
Jina: John Charles Tesha (J. C. TESHA)
Rank: Captain
Intake No. 58, 2014
Force No. P. 13353

Taarifa za July 22, 2025 zinathibitisha Tesha bado ni “active” (A1)
Ni mkufunzi wa zana za anga za kivita katika shule ya kijeshi ya anga SAK (Airwing) ndani ya Airforce
 
Kwa ufupi ni kwamaba kama ccm watakamata madaraka kwa mtindo huu wa kutojali sauti za raia , miaka 5 ijayo ni ya tabu sana kwa kila mtu . Yamkini tutatekwa na kupotezwa zaidi ya sasa
Miaka minne ambayo hakuchaguliwa na yeyote yule; kabadili kabisa yale ya mtangulizi wake na kujifanyia kivyake kabisa; yenye uchafu wa kutosha; sasa shuhudia akiingia kwa madai ya kuchaguliwa (hata kama si kweli); miaka hiyo mitano au hata zaidi ttakuwa ni ya kipekee sana. Ya kipekee kwa maovu yatakayo fanyika hapa nchini.

Mtu anajitangazia kabisa hataki kelele, na kujiita Chura, kwa sababu tu hataki kusikia sauti za waTanzania zikililia raslimali zake anazozigawa kwa wajomba!
 
Kaka Eli binafsi nilikuwa nimeshapoteza imani kabisa na JWTZ, ila kwa hiki nilichokiona leo.. acha niseme nalipenda sana jeshi letu la kulinda wanainchi, hakika Mungu aendelee kulilinda na Mungu amtunze sana Captain Tesha.
Hakika mkuu, Mungu amlinde mwamba na kutupatia ujasiri wa kumtoa NDULI CCM.
BTW, mbona umeniita Eli?
 
Kwanini anaanza kumshukuru Mungu badala ya Samia? Mwanangu nimekukubali. Sina shaka akina Kikwete na Mwigulu watakosa usingizi wasijue huu unaweza kuwa mwanzo wa mwisho. Afande umekosea kuingiza mambo madogo kama sakata la tapeli gwajima. Hapo, umeniboa sana mwanangu.

Waliomtuma huyu dogo wajanja na wanaweza kuzua jambo. Akikamatwa, wanajeshi wa rika lake wanaweza kuwageuka wakubwa zao. Wasipomkamata, itaonekana jeshi liko nyuma yake. Lolote litakalofanyika, laweza kuwa kitufe cha kuiingiza Tanzania kwenye jeshi kutwaa madaraka. Sijui haya ndiyo madhara ya Kapteni Ibrahim Traore au legacy ya Magufuli.
 
Watu wanahangaika kujuwa kama huyu ni mjeshi au si mjeshi yote haisidii je alichozungumza ni sahihi sio sahihi na kama ni sahihi au si sawa unafikiri watu wa ngazi za juu wanafikiria nini kuhusu hali ya sasa
 
Jamaa atakamatwa leo usiku,atapelekwa kwenye mahakama za kijeshi,kosa lake ni uhaini na kuota taarifa za uongo au apotezwe kama akina Ben saanane.
CCM wameshasema hivyo kinachofuata niutekelezaji,tunzeni komenti hii kesho tukutane tena!
Wakifanya hivyo ndiyo watakuwa wamekwisha maana sasa jeshi litachukua nchi bila ya onyo😁😁😁
 
Cpt Tesha , kagusia suala la Imani za KIDINI na Kua Mwanajeshi.

Kataja, **** Wanajeshi wa Imani ya Gwajima, Kuna wa Imani ya RC, Kuna wale ambao wanataka tu kuona Haki inatamalaki na Kuna wale wanaopenda Rasimali za Nchi zitumike Kwa Masilahi ya Wananchi

SASA, ENDELEENI KUFANYA MCHEZO WA KUINGIA BARABARANI NA MAGWANDA, MKIJICHANGANYA NA POLICCM KUWATISHA WANANCHI, KUWAULIZA WANANCHI KIHISIA KWA LENGO LA KUWAKATISHA TAMAA ILI WASIPIGANIE UKOMBOZI WA NCHI WAO.

NASEMA HIVI, NYINYI TOP OFFICIALS HAMTAINGIA BARABARAN KUWAZUIA WANANCHI, HAWA MA JUNIORS WENI AKINA CAPT TESHA, NDIO WANAENDA KUWALINDA WANANCHI.

Sasa mtachagua wenyewe !!.
 
Nimemsikia mwanajeshi.akiongea kuhusu Haki za Wananchi na rushwa serikalini.
Natoa tahadhari katika wanajeshi wote wapo wazalendo na siku zote wanaokomboa nchi ni wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…