MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Nimesikia makubwa kuliko hayaJiandae kwenda kusikiliza kesi yake ya uhaini ila kwa ulivyo muoga hata mahakamani hautaenda utaendelea kujificha juu ya dari kama unavyofanya kwenye kesi ya lissu
Amesema kinyakinya lazima atuachie Nchi yetu.Amesemaje tunaomba ufupusho
Muda muafaka kabisa, bado wiki tatu tu. Hii inatoa fursa kwa wananchi kutafakari na wajeda wengine kujitokeza. I would say, the captain’s move is well calculated. Ujumbe umefikaWako wengi, This move was supposed to be sometimes mwishoni mwishoni.
Huyu jamaa ana ulizni tayari wa wanajeshi wenzake, wale watekaji wakasogee alipo waone moto..Yaani Captain hapo kaambiwa tu we kasome hivi
Huku nyuma ni bunch of soldiers wanasapoti
Maniga tarehe 29 vyuma vitakohoa na burudani itapatikana fresh tu.
Aaaah Mungu (Still Atheist though) nifikishe 29 October niwe sehemu ya wengi kushuhudia ukombozi wa nchi.
Ccm wametufikisha hapa! Sijui nifurahie au nihuzunike.Tumefika hapa!!
Watekaji wakitaka kumteka watatekwa waoHuyu jamaa ana ulizni tayari wa wanajeshi wenzake, wale watekaji wakasogee alipo waone moto..
Dogo utoto unakusumbua sanaSamia ndio kaondoka hivyo.
Usifikiri huyo katoka hapo akiwa peke yake.
Hakuna mwanajeshi ana uwezo wa kuongelea serikali, democracy lazima iendelee lakini sio kwa sababu wanajeshi wamesemaAmeshasema anajua madhara ya anachokifanya, tumuombee na kuwa nyuma yake...wengi wetu tumeichoka ccm.
WAHUNI WAKAMATWE MKUU
UCHAGUZI UAHIRISHWE
Dah nina furaha sananWashapiga pin youtube