Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Waziiiii Afande! Hongera Nyingi kwa ujasiri uliotukuka. Ujumbe Umewafikia Wakubwa. Ndio kwanza Kunakucha, Rest Easy JPM wanao wanakulilia huku duniani. Walikuchezea rafu na refarii akapeta lakini mioyo ya wanao imekataa katakata kukusahau Muda Utaongea
 
Naongelea sheria za kijeshi ambazo niliziishi, siongelei emotions, kama wamemtuma probably watamlinda! How? Wanajua wenyewe, but kwa NDA na regulations zake kwa mwanajeshi tena afisa kumpinga rais hadharani ni uasi!
Mimi naona yuko sahihi. Kwa sababu nchi haina Rqis! Na badala yake ina mmama tu aliyetangulizwa mbele, halafu wahuni wanatawaa huku wakiwa wamejificha nyuma yake. Na mhuni namba moja ni huyo mzee mstaafu (mzee wa hovyo kabisa huyu kuwahi kutokea nchini) aliyetajwa mara nyingi na huyo Captain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…