100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
- Thread starter
-
- #161
Tulieni chawa nyie...Hakuna mwanajeshi ana uwezo wa kuongelea serikali, democracy lazima iendelee lakini sio kwa sababu wanajeshi wamesema
mm nakushauri tarehe 29 utoke ndo utaelewa siasa zikojeHaya ongea wewe unayejua kila kitu, niondokee hapa
Tutajie majina yake yumpigie saluteSio huyo, yupo aliye nyuma na wana muogopa Sana.
Kwanini anamuomba CDF wakati yeye aneshakuwa compromised?
View: https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI
Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema..
"Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu muumba mbingu [00:13] na nchi kwa kunipa uhai na afya mpaka muda huu ambapo nazungumza nanyi Watanzania wenzangu nikiwa na maumivu makubwa sana [00:21] moyoni juu ya haya yanaendelea katika nchi yetu...""
Muhtasari.
Kapteni K. Tesha, afisa anayejitambulisha kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Saki/Shule ya Anga ya Kijeshi), anatoa maoni yake kwa umma kuhusu hali anayoiona katika taifa.
Hoja Kuu za Kapteni Tesha:
- Hatari ya Taifa: Anadai anaona hatari kubwa mbele ya taifa kutokana na yale yanayoendelea [00:30]. Anasema ametoa barua kwa wakubwa wake, akiwemo CDF, kuonyesha kutoridhishwa kwake na hali ya nchi [01:35].
- Jeshi Kuchukua Nchi: Anashauri Jeshi la Ulinzi wa Wananchi (JWTZ) lichukue nchi haraka ili kuweka mambo sawa, akidai kuwa imani pekee ya Watanzania imebaki kwenye jeshi [02:34]. Anataka uchaguzi uzuiwe kwa sababu una mtego na umejaa makashfa [01:00:25].
- Deep State: Anaelezea dhana ya "Deep State" kama kundi la watu wenye ushawishi ndani ya serikali au taasisi za dola (serikali ndani ya serikali) ambalo linaendesha maamuzi nyuma ya pazia [04:19]. Anadai kundi hili nchini linaongozwa na "CCM Mtandao" wakiwemo Mstaafu Kikwete na Rostam Aziz.
- Uchunguzi wa Kifo cha Magufuli: Anasisitiza kuwa kifo cha Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli kichunguzwe na Jeshi kwa haraka, akitaja taarifa kwamba kinaweza kuwa kimesababishwa na CCM Mtandao.
- Ushauri kwa CDF: Anamuomba CDF (Mkuu wa Majeshi) asikubali siasa kuingizwa Jeshini kwa kuwa inaweza kugawanya umoja wa jeshi, na anashauri Kikwete na mtandao wake wakamatwe kujibu tuhuma za ufisadi na kifo cha Magufuli .
Kuna mjinga mmoja alinitishia humu kuwa watu watavunjwaDaa! Kumbe haya mambo yako very serious. Ewe Mwenyezi Mungu twakuomba sana uiponye Tanzania yetu na mikono michafu ya mafisadi.
Nishakuambia unitolee ujinga wako mkuu, siongei na watu wasokuwa na akili.mm nakushauri tarehe 29 utoke ndo utaelewa siasa zikoje
Nataka kuamini kwamba huyu jamaa ana changamoto ya afya ya akili la kama si hivyo ana watu wengi sana ndani ya jeshi wako nyuma yake!Watu walituona wapuuzi tuliposema tunatoka 29 OCT, kiko wapi ? Jeshi lipo upande wa wananchi.
Tarehe 29 tunatoka.
It is called A politely reminderKwanini anamuomba CDF wakati yeye aneshakuwa compromised?
Kama kutetea nchi, watetezi watatoka ngazi za chini siyo kwa CDF, IGP, au mkuu wa usalama.
Nafikiri hili kauli ni onyo kwa kwahuni.
Kwa hiyo na wewe unavaa hereni masikioni kama mke wangu siyo!Sasa nafikiri huu ni muda wa kila mtu kuonesha silaha aliyo nayo kuelekea 29/10
Niite Scars Lee
View attachment 3483197
sawa mke wa teshaNishakuambia unitolee ujinga wako mkuu, siongei na watu wasokuwa na akili.
Unafikiri yeye hakujua yote hayo? Huyo ana watu nyuma yake hajakurupuka..!!Huyu watamcourt marshal tu, kajitoa muhanga kwa sheria zetu mbovu za jeshi ni uasi kafanya!
Ila katoa message muhimu sana kuonyesha wanasiasa kwamba wanajeshi tena hata maofisa hawaridhiki na hali hata kama wanawalipa fweza zaidi
Ili kikitokea cha kutokea CDF asitafute wa kumlaumu alishaambiwa nini kinachoenda kutokea mapema ndio maana kamuelekezea yeye ndivyo wanavyofundishwa wakiwa kambini unapowasilisha jambo kwa mkubwa afanyie maamuzi yeye mkubwa wake ni CDF sio huyo mkubwa wako wewe ulietaka amtajetaje kwenye video sio tofauti na hapoKwanini anamuomba CDF wakati yeye aneshakuwa compromised?
Kama kutetea nchi, watetezi watatoka ngazi za chini siyo kwa CDF, IGP, au mkuu wa usalama.
Nafikiri hili kauli ni onyo kwa kwahuni.
Nicheki inbox frendHasta la victoria siempre
Sasa CDF ni nani kama wanajeshi wa chini hawamsikilizi? huyu anazungumza kwa sababu nyuma ana backup kubwa tena sana, na amejiridhisha vya kutosha hadi kufikia hatua hio..Kwanini anamuomba CDF wakati yeye aneshakuwa compromised?
Kama kutetea nchi, watetezi watatoka ngazi za chini siyo kwa CDF, IGP, au mkuu wa usalama.
Nafikiri hili kauli ni onyo kwa kwahuni.