TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Dada/Mama yetu.

* Nyie watukanaji wa wanawake, muwe na heshima. Humu kuna dada zenu, shangazi zenu na Mama zenu.
Tena wengine ni wema sana, wenye msaada mkubwa. Mfano huyu dada/Mama yetu.
Siku unatukana kumbe unamtukana Mama yako mzazi, hujui niyeye. Kuna laana unazitafuta kwa nguvu. Hatujuani jaribu, kuheshimu kila mtu.
 
Apumzike kwa Amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…