Unachagua tu watu wako wachache mnafahamianaInawezekana humu mkafahamiana na watu 2 au 3
RIP NdikwegaNdugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.
Mazishi yamefanyika leo kwao Rungwe .
Apumzike salama
kweli..Unachagua tu watu wako wachache mnafahamiana
Nashukuru uzi wa selfika umenikutanisha na baadhi ya members humu ndani.
Anko Mshana Jr shukrani sana Kwa kuanzisha ule uzi.naomba nikuhakikishie kupitia uzi ule watu wamepata ajira (kukutana na watu),kutengeneza konekshen za maisha.
😊😊
Mkuu mbona ndo nazipigaga hizo Dar - Mbeya usiku kucha..kifo kivipi?Red bull sita? Unatafuta kifo wewe
Usitumie tena andiko hili huwa linakatisha tamaa ya maisha kabisa...Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake siyo nyingi nazo zimejaa tabu. Pole kwa familia
Watu wengi humu tumejuana kupitia humu na tukapeana mawasiliano wengine tukakutana kabisa.Huwa mnajuaje na hizi fake id
Yas mi wa Kyela yeye wa tukuyu ila tumesoma nae chuo na nimeshirikiana nae mambo mengiHicho Kinyakyusa cha Kyela sio Tukuyu!
Ndagha musyiile kikolo
Chuma ilimchoma ile ya kile kidude cha kuzuia juaSijui amekufaje hapo, mbona upande wa dereva haujadhurika kivile!
Inawezekana kachomoka. Naona gari imemeguka hadi huko juu pamekuwa wazi.Sijui amekufaje hapo, mbona upande wa dereva haujadhurika kivile!
Pigo kubwa sana !Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.
Mazishi yamefanyika leo tarehe 23 Februari kwao Rungwe .
Apumzike salama
Rebbull 4 kwa siku si moyo unaweza kuleta shida...ukiwa mzoefu wa kuendesha ajali kupata ni nadra sana,ukiona uchovu pumzikaIgawa kuna mkeka mmoja unashawishi sana..kukimbia..kwa safari za mbali ni muhimu sana kua na red bull 4 au 6 ili kuondoa uchovum...