TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Asante sana Glenn kwa upendo na kujali, tayari tuna uzi mwingine kama huu japo jukwaa tofauti[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

 
Jah awape faraja na uvumilivu wafiwa ktk kipindi hiki kigumu kwao, kwa kuondokewa na mpendwa wao.

Mpendwa baba ampumzike mahala salama huko alipo.

Raha ya milele umpe eeh bwana, na mwanga wa milele umuangazie,
Mpendwa wetu astarehe kwa amani, AMEEEEEEN [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…