Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Niliwaza hili usk..nikasema ntamuomba
Heaven Sent namba ya anne! Nadhan ni jambo jema
Tujitahidi tuchangie chochote hata 2000/= kwa wingi wetu zitasaidia pahala.
Duh...sikusoma.tena update..shukranNamba tuliiweka pale juu 0756 865 385-Abel Kahava. Mbarikiwe sana[emoji120][emoji120][emoji120]
Pole sana St. Anne na familia nzima. Rest in eternal Peace Baba St. Anne.Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi....
Aisee.. pole nyingi kwako na kwa familia nzima..... Mungu awavushe ktk kipindi hiki kigumu cha majonziWapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa, Jina la BWANA na libarikiwe...
RIP baba.Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi...
Mdogo wako unamjua kwani? humu si hatujuani π π π π πPole sana mdogo wangu Saint Anne Mungu wa mbinguni akawe faraja kwako, kwa familia, ndugu na jamaa..!!