TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Nimempenda bure Saint Anne amekuwa muungwana mno wa kujibu hizi pole zetu

Hii kitu unaweza kuona ni jambo dogo sana ila kwa kujibu tu hizi pole ni wazi itamsaidia sana kupunguza huzuni haraka bila yeye kujua.

Kwa uzoefu wangu maranyingi unapokuwa na shida au tatizo na ukaweza walau kupata mtu wa kuongea nae inasaidia kutua mzigo wa lile tatizo au kupunguza mzigo wa huzuni au line tatizo.

Pole sana na Credit zikufikie pia Mshana kwa kutambua hili tukio, maana sisi wengine wala hatujuani humu na kuna wakati kuna member wanafariki na wala hatujui kwa kuwa humu wengi hatutumii majina halisi.
 
I am worried about this lady. I hope she will be okay after going through the most difficult time in her life of losing a parent. Alianza kunyong’onyea mara baada ya kujua Baba yake ni mgonjwa.
Kuna alert ilikuja kichwani,
Kila nikitaka nipuuzie naona inagonga.
Kila nikijaribu kumsihi Mungu abadilishe maamuzi ilishindikana,
Nikahisi ananitania,ila akafanya kweli.

Mungu huyu[emoji24],
Hakutaka japo kunisikia masikini mimi.
Binti mdogo namna hii nampoteza mzazi[emoji119]
 
Pole Saint Anne

Mungu ana mizungu mingi, maisha yataendelea hata usijue yaendaje...

Mshukuru Mungu umeweza kuishi na baba hadi umri huo uko nao, kuna watu wanapoteza wazazi wao huku wakiishia kuwajua kwa kusimuliwa tu...
 
Prayers and Comfort to you st Anne..May allah give you courage to overcome.....
Weka picha yake, pole sana wafiwa
Pole mdau St Anne
Mungu akawe mfariji wako dia Saint Anne
Pole sana
Mungu akupe nguvu katika kipindi hichi Saint Anne.
Pole sana
Mtakatifu pole mama..Mungu awatie nguvu.Roho ya baba yetu iendelee kupumzika kwa Amani.
Pole mwana familia mwenzetu kwa msiba mzito
Poleniana sana mtakatifu Saint Anne na bazazi mla nyama za wachuchu Mshana Jr

Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu kwenu

Namwomba Mungu amrehemu mzazi wetu. Amen
Pole sana Saint Anne ,Mungu awatie nguvu katika wakati huu mgumu
Pole sana madam mungu akutie nguvu ktk kipindi hk kigumu amen
Inna lilahi...pole Anne
Pumzika kwa amani mzee wetu...pole kwa wanafamilia wote
Pole kwa wafiwa wote
Tujitahidi tuchangie chochote hata 2000/= kwa wingi wetu zitasaidia pahala.
Poleni sana Ndugu Jamaa na marafiki waliondokewa na Mzee..
Pole sana mkuu"

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
My heartfelt condolences Dear Saint Anne ...May God's peace and love lift you and your family from sorrow.
Pole sana Saint Anne
Pole sana St. Anne na familia nzima. Rest in eternal Peace Baba St. Anne.
Aisee.. pole nyingi kwako na kwa familia nzima..... Mungu awavushe ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi
Pole Sana,Tunamuombea mzee wetu apumzike kwa amani
Pole sana mdugu
pole sana ndugu yetu.
apunzike kwa amani mzee wetu.
May the heavenly host guide him in peace

Pole sana Saint!
Pole sana Anna, Mungu awe mfariji wako/wenu my dear
Pole sana bidada...mzee apumzike kwa amani[emoji120]
Pole zimfikie katika kipindi chote hichi kigumu anachopitia.[emoji120]
Pole sana wafiwa wote.

Let him Rest Peacefully in Paradise.
Huu uzi sikuuona.

Mungu amtie nguvu swahiba wetu.
Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Pole kwake kwa kumpoteza baba
Pole sana Saint Anne ...
Pole sana mpendwa wangu/wetu Saint Anne

Pumzika kwa amani Baba yetu mpendwa
Stay strong, Anne

Tunakupenda mtumishi mwenzetu
Amen Amen[emoji24][emoji24].

Ameenda[emoji120]
 
Yaani Mungu amenihuzunisha[emoji24]
Nilimsihi sana sana lakini hata hajataka kunisikia.

Ila mwenyewe atajua namna ya kunitoa huku.
 
Yaani dada ,Endelea kuomba Mungu ampe uzima huyo baba.
Mimi pamoja na kuomba kwangu kote ila ikashindikana[emoji24],,maumivu yake hayabebeki[emoji119][emoji119]Ukizingatia Mimi ndiye mtoto pekee niliyebakia nyumbani.

Namba ni ya ndugu yangu,si yangu.

Bahati mbaya hakuna aliyefanikiwa kuongea na mimi hadi Sasa,,siwezi kustahimili kuongea na simu kwa Sasa.
Hadi akili itakapokaa sawa ndio nitaweza pokea simu.
 
pole kwake.
Wka picha.
 
Amen[emoji120]
Kuna relief napata ninapojibu hizi comments.
Kuna faraja inajengeka sana,
Naona ninapendwa.
 
😭😭😭😭😭😭😭
 
Pole Saint Anne

Mungu ana mizungu mingi, maisha yataendelea hata usijue yaendaje...

Mshukuru Mungu umeweza kuishi na baba hadi umri huo uko nao, kuna watu wanapoteza wazazi wao huku wakiishia kuwajua kwa kusimuliwa tu...
Sijui maisha yatakuwaje.
Mungu mwenyewe anatengeneza njia.

Namshukuru Mungu kwa maisha ya baba japo naona amemchukua mapema mno.
At my early 20's kuondokewa na mzazi ni pigo kubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…