TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

RIP
 
Mwenyezi Mungu akujaza moyo wa subira wewe na familia nzima kwenye siku hizi chungu[emoji120][emoji120]
 
Yaani stress nilizonazo acha tu.
 
Pole sana Saint Anne na familia nzima kwa kuondokewa na Mzee wetu.
Sio jambo rahisi, ila jipe moyo dada Anne. Kila kitu kina sababu yake, na Mungu anajua.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Pole yake awe na subira katika kipindi hichi kigumu.
Pole sana, miye ni miezi 4 karibia lkn hata namba zake naogopa kuzifuta nahisi km nampoteza kabisa.
Poleni sana wafiwa
Pole madam Saint Anne ....
"Father rest in heavenly peace ,we will meet you in heaven"
Pole sana kwa msiba
Aliemchukua amekwisha watengenezeeni njia Wala hamtakwama japo ya hapa na pale mtapita lakini mtafika salama, sisi wengine tuliachwa wazazi tukiwa na umri wa siku tu lakini tulivuka.

Pole mno.
My prayers are with you and the family dear Saint Anne
My condolence to Saint Anne and the family
May God give you strength during this period
Pole
Pole mama watoto[emoji17][emoji56]
Pole St. Anne
Kazi ya Mungu, usiwaze sana ndugu Mungu aendelee kuwatunza
Hakika sisi sote ni wa mwenyezimungu na kwake tutarejea.
Pole kwa Saint Anne, ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki cha majonzi, mungu awape nguvu zaidi.
Mungu wa Mbinguni na awe faraja yako kwenye kipindi hiki kigumu unachopitia[emoji24][emoji120][emoji120]
Pole mwaya, Mungu azidi kukupa nguvu
Kua na amani madam
pole kwake.
Wka picha.
Pole sana
Jaribu ujikaze
Kifo mwanadamu tumeumbiwa
Najua inauma lkn hatuna jinsi
Mungu akutie nguvu uweze kuvuka
Hatua hii uliyopitia

Ova
Mungu akutie nguvu SA. I pray for You
Pole MUNGU atakupa nguvu utashinda
Hawezi kukupitisha kwenye hayo mapito alafu akakuacha
Poleni sana Anne
Poleni sana familia Mungu ndiye mfaridi wetu daima tumtegemee yeye.
Mungu ampe nguvu mwanajamii yetu.
Pole sana Saint Anne kwa msiba
Pole sana mtakatifu Anne kwa kuondokewa na mzee wako.

Mwenyezi Mungu akutie nguvu.
Pole sna SaintAnne.
Amen[emoji24][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…