Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Bonge la comment yenye ujazo wake! 💪💪ndoa zina kanuni constant milele,hakuna namna inaweza kubadilisha hiyo asili.
watu maarufu na wenye kipato huwa wanajichanganya na kuja na kanuni nyingine kwenye ndoa zao,wanapoteza kimoja wapo.
umeolewa usiku uko kwenye event za kibiashara na watu wengine.
umeolewa jamaa anakula peke yake mgahawani au home peke yake.
umeolewa watoto na mume wanahudumiwa na wasaidizi wa kazi.
kuwa mke wa mtu ni fani nyingine ambayo inahitaji muda maalum kwenye maisha ya mwanamke sio sehem tu ya muda wake.
Nani sasa kalalamika!!Yaani sijui kwa nini watu kwenye ndoa waki achana wanawake ndio hulalamika, ila wanaume kimya na unaweza kuta hawana kosa hata kidogo ila wameamua kuya hifadhi.
Vijana wa humu kwa kuhukumu wameshindikana. Na hapo wanaandika mengi sababu tu wanaona Flavy sio level yao. Vijana wa JF wana tatizo na pisi kali na wadada celebrities. Yani ukishakua maarufu tu tayari we una shida
Mimi si zungumzii mmu na zungumzia niliyo ya ona.Nani sasa kalalamika!!
Nenda mmu uone wanaoongoza kwa kulalamika.
Kuna wa siku 5 ndoa chalii. Dunia ina mambo hii.Week 2 na nusu? Aiseee
Si ndio hapo sasa!! Its like watu wanachukulia experience za failure zao wanamuunganisha na Flavy humo humo.Hii issue inashangaza, Flavy hajawahi kuongelea hii issue na aliiweka private sana kiasi kwamba watu hawakuwahi kujua kama ndoa yake imeisha, Tofauti na celebrities wengine
watu wanamuongelea negatively kwa sababu zipi maana binafsi naona ame_handle hii issue kwa kiwango kikubwa cha maturity.. Watu wana issues kwa famous and successful people indeed
Jamani jamani. Ina maana walishindwa kabisa kusogeza wafike japo week? Na hawajawahi kurudiana?Kuna wa siku 5 ndoa chalii. Dunia ina mambo hii.
Hawajawahi, ila mwanamke aliolewa tena. Mwanaume ndio bado haamini majicho yake[emoji1787][emoji1787]Jamani jamani. Ina maana walishindwa kabisa kusogeza wafike japo week? Na hawajawahi kurudiana?
Wewe umetekwa kama ulivyosema mwenyewe, sasa walio kuteka WAMEKUFANYA VIBAYA na ndio maana ukasema mwenyewe bora mgao wa maji kuliko kutekana.
Naona babycare hujaipenda nitakuletea Ile Kali zaidi.
Daaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawajawahi, ila mwanamke aliolewa tena. Mwanaume ndio bado haamini majicho yake[emoji1787][emoji1787]
Dah mkuu umeongea madin sana.ndoa zina kanuni constant milele,hakuna namna inaweza kubadilisha hiyo asili.
watu maarufu na wenye kipato huwa wanajichanganya na kuja na kanuni nyingine kwenye ndoa zao,wanapoteza kimoja wapo.
umeolewa usiku uko kwenye event za kibiashara na watu wengine.
umeolewa jamaa anakula peke yake mgahawani au home peke yake.
umeolewa watoto na mume wanahudumiwa na wasaidizi wa kazi.
kuwa mke wa mtu ni fani nyingine ambayo inahitaji muda maalum kwenye maisha ya mwanamke sio sehem tu ya muda wake.
Na hayo maumivu yapo kwa wanawake tu sio? Wanaume wala hauwaumii eeh!!?!.Hakuna mtu anayeingiaga kwenye ndoa ili baadae ivunjike.
Kwahiyo elewa kila kuvunjika kwa ndoa kuna maumivu makubwa kwa aliyeingia kwenye ndoa hiyo kwa nia njema
Bado sijapata, me sifanyi mzaha naitaka kweli na laki nakupa bila hata kelele.Laki parefu jamani mweee. Ushapata namba au nikupatie nijishindie laki mie saa hizi?
Hii tetesi niliskia pia huko mitandaoni. Jaman inatoa simanzi kama ni kweliMmmh mbona hauzungumzii labda alimkuta mumewe anatafunwa on bed[emoji848][emoji848]
Mambo ya ugasho yametamalaki kwa wanaume
Noma sana mkuuHii tetesi niliskia pia huko mitandaoni. Jaman inatoa simanzi kama ni kweli
Na hayo maumivu yapo kwa wanawake tu sio? Wanaume wala hauwaumii eeh!!?!.
Yan katika kipind nataman hata kuvunja ndoa ni hiki..
Acha tu niendelee kukaza mpaka nirud kwenye peak yangu..