Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Bonge la comment yenye ujazo wake! 💪💪ndoa zina kanuni constant milele,hakuna namna inaweza kubadilisha hiyo asili.
watu maarufu na wenye kipato huwa wanajichanganya na kuja na kanuni nyingine kwenye ndoa zao,wanapoteza kimoja wapo.
umeolewa usiku uko kwenye event za kibiashara na watu wengine.
umeolewa jamaa anakula peke yake mgahawani au home peke yake.
umeolewa watoto na mume wanahudumiwa na wasaidizi wa kazi.
kuwa mke wa mtu ni fani nyingine ambayo inahitaji muda maalum kwenye maisha ya mwanamke sio sehem tu ya muda wake.