The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sina nini? Hao wanaotoa sijui nini ndio huwa wanajinyonga,ndio huwa wanalilia wanawake na ndio huwa wanavurugika maisha wakiachwa..Wewe unaita upuuzi sababu huna. Wanaume wenzio wanatoa bila hata kuombwa
Mtu kama mimi napenda kuwa peke yangu mda mwingi na aidha kukaa na simu au kusafiri for adventure ndio furaha yangu kwa hiyo upuuzi wowote kwangu sivumiliagi..
Binafsi naishi na mwanamke kwa ajili ya kulea watoto tuu na si vinginevyo..