"Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

"Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

Wewe unaita upuuzi sababu huna. Wanaume wenzio wanatoa bila hata kuombwa
Sina nini? Hao wanaotoa sijui nini ndio huwa wanajinyonga,ndio huwa wanalilia wanawake na ndio huwa wanavurugika maisha wakiachwa..

Mtu kama mimi napenda kuwa peke yangu mda mwingi na aidha kukaa na simu au kusafiri for adventure ndio furaha yangu kwa hiyo upuuzi wowote kwangu sivumiliagi..

Binafsi naishi na mwanamke kwa ajili ya kulea watoto tuu na si vinginevyo..
 
Sina nini? Hao wanaotoa sijui nini ndio huwa wanajinuonga,ndio huwa wanalia wanawake ma ndio huwa wanavurugika maisha wakiachwa..

Mtu kama mimi napenda kuwa peke yangu mda mwingi na aidha kukaa na simu au kusafiri for adventure ndio furaha yangu kwa hiyo upuuzi wowote kwangu sivumiliagi..

Binafsi naishi na mwanamke kwa ajili ya kulea watoto tuu na si vinginevyo..

Ni vizuri unajifahamu kuwa unapenda kuwa peke yako.

Basi endelea kuwa peke yako maana ukiwa na mtu utaona taabu tuu
 
Back
Top Bottom