Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
2,194
Reaction score
4,805
Mwanakulitafuta, Mwanakulipata

Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji

FB_IMG_1754926647692.jpg
 
and she deserve it i think
How!

Somebody to give her opinions is to deserve death?

Acheni upumbavu, hamuwezi kumpangia kila mtu namna ya kufikiri, at least not by stoning her.

Even if you stone her, she will go to grave thinking that Allah was a lesbian.

You can never control thoughts.

Nazis never did, on Victor Frankl
 
Mwanakulitafuta, Mwanakulipata

Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji

View attachment 3438519
Waliomtuma wako ulaya wanakula baga na mikate. Uanaharakati mwingine hauna tofauti na unyumbu.
 
Wao wanaomhukumu, wanaijua jinsia yake halisi?

Watathibitisha vipi ala sio lezbobo
 
Back
Top Bottom