Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

Hivi mungu ana wawakilishi wa MIX by Yass ambao waislamu kutoa hukumu.
Boko Haram, alshabab alqaida Islamic jihad yote haya ni magenge ya Allah. Anayatumia kulinda maslahi yake duniani
 
How!

Somebody to give her opinions is to deserve death?

Acheni upumbavu, hamuwezi kumpangia kila mtu namna ya kufikiri, at least not by stoning her.

Even if you stone her, she will go to grave thinking that Allah was a lesbian.

You can never control thoughts.

Nazis never did, on Victor Frankl
We ni chizi
Kwa hio mtu akikufata akakuambia anafikiri baba ako ni *****.utamchekea Kwa kua ni maoni yake..
 
Mwanakulitafuta, Mwanakulipata

Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji

View attachment 3438519
Mungu allah yeye hanaga nguvu za kuadhibu watu ....mpaka atume watu na mawe.
Allah ana mambo ya kijinga sana wewe ndo unanguvu kuliko zote afu .... si muadhibu mwenyewe
 
Kwahyo waislam wanauchunga Sana, mbona wa Christian hawaui.
Ushasema christian nyie mmezoea kumkashifu na kumuaibisha yesu wenu.hilo halituhusu sasa mkija kuleta huo ujinga kwetu
Ni mwendo wa jabali
 
Mungu allah yeye hanaga nguvu za kuadhibu watu ....mpaka atume watu na mawe.
Allah ana mambo ya kijinga sana wewe ndo unanguvu kuliko zote afu .... si muadhibu mwenyewe
Kwann uchokoze Imani ya mwezako ?
We una dini Yako
Kuna vitu vingine c vya kuteteana kbs
 
Yaani mambo mengine ni ya kujitakia
Uhuru unao ila c wakutukna wenzako
Hasa mambo ya Imani kma haya
Kanisani kila jumapil mnaenda kuabudu mungu wenu mbona wachungaji wenu hawawafundishi huu upuuuzi
Hakuna kanisa linalowatukana waislam
Chuki hiz mnatoa wapi
 
Chuki dini yenu ya hovyo inafundisha chuki 24/7 allah.... mara kuchinja watu.....mara sijui music haram mara sijui huyu kafir ....mara sijui kupigane mawe mara sijui yaaaani ufala fala tu
 
Sawa ila waona ni sawa kutukana wanao amini mungu yuko?
Kama mungu wenu allah yupo kazi yake kuni adhibu sio wewe au kakikundi na mawe ...kama mungu Allah ananguvu ajitete mwenyewe ....otherwise hayupo ni story tu
 
Ndio maana wenye akili hawataki kobazi kwenye nchi zao, wengine hata ukila kitimoto chako ni issue, acha Netanyahu aendelee kuwapa dozi tuu
 
Wenye akili hawakebehi dini
Nyie hata mwenzenu akiingia dini nyingine kama ukristo, inaweza kuwa adhabu ya kifo, kobazi ni very dangerous ,Europe wanajuta kuwakaribisha ila mzungu hashindwi kitu atawarekebisha tuu
 
Mwanakulitafuta, Mwanakulipata

Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji

View attachment 3438519
Nucky Thompson wa Boardwalk empire, tunasema UISLAMU NI SHIDA!
IMANI YAO SIYO YA MCHEZO MCHEZO MDAU...
 
How!

Somebody to give her opinions is to deserve death?

Acheni upumbavu, hamuwezi kumpangia kila mtu namna ya kufikiri, at least not by stoning her.

Even if you stone her, she will go to grave thinking that Allah was a lesbian.

You can never control thoughts.

Nazis never did, on Victor Frankl
Acha kutetea upumbavu
 
Hamna kitu nakiepuka huku mtaani kama kubishana au kuukashifu uislamu. Ntabishana na kukosoana na wakina sabato walokole na akina wakatoliki ila huko hapana sigusi
Jichanganye siku uwaguse waondoke na hiko kichwa.
 
Back
Top Bottom