Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

Inashangaza jinsi wanadamu wanavyo mpigania Allah ni kama yeye hana nguvu za kufanya chochote

Kwangu mm naamini aachwe mungu atamfundisha yeye ni nan
 
Mwanakulitafuta, Mwanakulipata

Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji

View attachment 3438519
Ni sawa kuchukia dini yoyote ile lakini kufikia hatua ya kumtukana Mungu au chochote kinachochukuliwa kitakatifu kwenye dini husika si sawa .
 
Badala ya kumuua, wamfukuze Morocco, wammvue uraia, wanikabidhi mimi bure nikajifiche naye Mabwe pande niishi naye kama mke wangu. Nitamshawishi aombe msamaha. God is merciful and compassionate. Atasamehewa tu, ila hakuna kurudi Morocco.
 
Hamna kitu nakiepuka huku mtaani kama kubishana au kuukashifu uislamu. Ntabishana na kukosoana na wakina sabato walokole na akina wakatoliki ila huko hapana sigusi
Kwanini?
 
Ni sawa kuchukia dini yoyote ile lakini kufikia hatua ya kumtukana Mungu au chochote kinachochukuliwa kitakatifu kwenye dini husika si sawa .
Afande Sele alivyoporomosha matusi kwa MUNGU kisa kwa nini Magufuli kafa, Ile 2021 ulisikia ? Ulihoji ? Ulikasirika ?
 
Hukumu ataipata kwa mola wake inayostahili zaidi. Kwakua kila kosa la mja Allah ndie aijuaye hukum chungu zaidi. Na wapo zaidi yake wenye madhambi makubwa zaidi nao watampiga mawe pia.
 
Back
Top Bottom