grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,015
- 5,664
ALimtukana Mungu lakini hakugusia dini yoyote ,kuna miungu mingi maybe uwe specific alimtukana Mungu yupi? na ndiyo maana viongozi wa dini tofauti tofauti walitoa kauli zao kwa ujumla maana hakuelekeza Tusi hilo kwenye dini fulani .Afande Sele alivyoporomosha matusi kwa MUNGU kisa kwa nini Magufuli kafa, Ile 2021 ulisikia ? Ulihoji ? Ulikasirika ?