Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

Kwa kifupi, mtu anapochagua kufanya jambo linalojulikana kuwa la kuchokoza au kukera kwenye mazingira ambayo hayawezi kuvumilia, anakuwa ama:

1. Anajua madhara na anakusudia kuchokoza – yaani anafanya kwa makusudi kuonyesha msimamo wake au kuipinga dini/jamii hiyo.
2. Hajielewi au hajajua mazingira vizuri – pengine alifikiri kila sehemu ni kama nchi yake ambako uhuru wa kujieleza ni mkubwa.

Lakini hata katika nchi za Magharibi, watu wengi hukosolewa vikali wakifanya jambo kama hilo, ingawa hawakamatwi. Kuna tofauti kati ya uhuru wa kusema na hekima ya kusema. Uhuru hauondoi matokeo ya kijamii au kimaadili.

Kwa hiyo, alichofanya ni kukosa heshima kwa mazingira ya watu, na kwa nchi za Kiislamu – ambako imani ni jambo nyeti sana – ni wazi kuwa hiyo siyo tu isiyo na hekima, bali inaweza kuchukuliwa kama uchochezi wa kidini, ambao ni kosa kubwa kimaadili na wakati mwingine kisheria.
 
We ni chizi
Kwa hio mtu akikufata akakuambia anafikiri baba ako ni *****.utamchekea Kwa kua ni maoni yake..
Mbona iko wazi,angekuwa ***** ningezaliwa?na mwenyewe si namuona hana pigo za kichoko sasa nitam-mind vipi mtu amuite ***** wakati mimi copy yake nipo?
 
Dunia ya leo watu hawayachukulii mambo kwa kiasi,kila kitu wanafanyia masihara just kupata umaarufu ambao in reality hauna msaada wowote kwao.

Kutukana imani za watu (humu pia wapo) siyo jambo zuri chukia utakavyochukia ila usifikie kutia dhihaka kwa anachokiamini mtu though siungi mkono kuhukumiana adhabu za vifo kama hizi.
 
Nyie hata mwenzenu akiingia dini nyingine kama ukristo, inaweza kuwa adhabu ya kifo, kobazi ni very dangerous ,Europe wanajuta kuwakaribisha ila mzungu hashindwi kitu atawarekebisha tuu
Last time I checked

Waislamu wanauwawa dunia nzima kuanzia itaniua, sudan, Palestine, Pakistan etc
 
We ni chizi
Kwa hio mtu akikufata akakuambia anafikiri baba ako ni *****.utamchekea Kwa kua ni maoni yake..
Mh! Kwa hiyo baba yangu kuwa ***** wewe unaona ni kitu cha ajabu sana!?
 
Mnakoenda sipo sasa
Kwa nini?

Jamaa anatolea mfano uchoko kana kwamba ni kitu cha ajabu sana.

Hapa duniani hakuna kitu cha ajabu hata kimoja. Mambo yote ya kawaida tu.

Changamoto iliyopo ni waarabu kulazimisha kila mtu afuate tamaduni zao. Maana dini ni utamaduni tu.
 
Mi nafikiri huyu mama apewe haki ya kikatiba
Mimi namsikiliza zaidi maalimu Busu la Kenge akitupa ilimu ya dini.
 
Nyie hamna dhambi?
Kila dini inadili na mambo yake
Dhambi zetu ni zetu na zenu ni zenu asa kwann mtuingilie?
Au unaona ni sawa alichofanya kutukana dini ingine
Huyo mtu ata kanisani kwake watamshangaa maana hukuna kanisa linafundisha hivo
Mnafundishwa upendo na amani
Hpo yeye kaleta chuki na vita
 
Mbona iko wazi,angekuwa ***** ningezaliwa?na mwenyewe si namuona hana pigo za kichoko sasa nitam-mind vipi mtu amuite ***** wakati mimi copy yake nipo?
Unasema ivo Kwa kua unajua nimetolea mfano tuh
Ila ushajua maana yke
 
Chuki dini yenu ya hovyo inafundisha chuki 24/7 allah.... mara kuchinja watu.....mara sijui music haram mara sijui huyu kafir ....mara sijui kupigane mawe mara sijui yaaaani ufala fala tu
Nyie mnafundishwa nn.tuanzie hpo
Mnafunzwa kutukana wengine au
Mnafunzwa upendo wanaume kwa wanaume au
Ebu jikaze acha kuleta ujinga ukizingua utazinguliwa uhuru wa kijinga ni wenu sio ss na mstke tufanane
 
Back
Top Bottom