Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Nchi gani?Mwanakulitafuta, Mwanakulipata
Ibtissame Lachgar anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
View attachment 3438519
How!and she deserve it i think
Siyo anataka kufa, and for your information she is not afraid, she just wanted you to know her opinions, even if you kill her, we already know her opinions.Dunia hii kuna watu na viatu.
Kachoka kukunwa na mwenzake anataka kufa ?
Wewe ndio huyo mwanamke ?Siyo anataka kufa, and for your information she is not afraid, you just wanted you to know her opinions, even if you kill her, we already know her opinions.
Wewe ndio huyo mwanamke ?
Wewe ndio huyo mwanamke ?
How!
Somebody to give her opinions is to deserve death?
Acheni upumbavu, hamuwezi kumpangia kila mtu namna ya kufikiri, at least not by stoning her.
Even if you stone her, she will go to grave thinking that Allah was a lesbian.
You can never control thoughts.
Nazis never did, on Victor Frankl
Waliomtuma wako ulaya wanakula baga na mikate. Uanaharakati mwingine hauna tofauti na unyumbu.Mwanakulitafuta, Mwanakulipata
Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
View attachment 3438519
Kwanguvu zote!amekitafuta kifo