Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

Afande Sele alivyoporomosha matusi kwa MUNGU kisa kwa nini Magufuli kafa, Ile 2021 ulisikia ? Ulihoji ? Ulikasirika ?
ALimtukana Mungu lakini hakugusia dini yoyote ,kuna miungu mingi maybe uwe specific alimtukana Mungu yupi? na ndiyo maana viongozi wa dini tofauti tofauti walitoa kauli zao kwa ujumla maana hakuelekeza Tusi hilo kwenye dini fulani .
 
Wangemcheck kwanza kama mentally yuko okay.Inawezekana ni mgonjwa wa akili.Wanaweza hukumu kifo mgonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…