Queen I'm aware, ndio maana nasema Mwanaume inatakiwa uwe hatua kumi mbele ya mwanamke.Wanawake ni viumbe tusioeleweka. So be aware of that [emoji848].
Na huu ndio ukweliWw bwana mbn wengine hatuna majukumu na hatufanyi huo utoto kwa wanauame wote!Nadhan mtu anayetoka home na kujipamba ili kupata attention ya mwanaume basi she find source of income.
Otherwise utoto na kuseek attention kutafanyika kwa mpenzi wako .
Mimi maoni yangu ni kwamba mwanamke hawezi fanya hayo uliyo yaeleza hapo juu japo umesema baadhi, ungesema mabinti ningekubali maana huwa tunawaona huku vyuoni hata mtaaniBibie wewe hujatoa maoni yako ili nijifunze kitu kipya
Alpha males food
Iwekewe lamination hyo point [emoji28][emoji28]"wanaume wakiwa wanamshobokea halafu wewe ukawa hujali chochote kuhusu yeye yaani kama humuoni au unamchukulia kama kambale tu"
Hii point ni muhimu sana kumega pisi yoyote[emoji115]
Labda nichukue huu ushauri niufanyie kazi maana mengine yalishanishinda.Ukitaka kuinjoi raha ya mwanamke just don't care and be Mkimya tu. Unaweza hisi una dawa ya kuwavuta[emoji28]
Alayna, unakubaliana nami kwamba mwanamke hata akue kiasi gani ila bado anapendwa kufanyiwa mambo ya kitoto?? Pipi kwake inaweza kua inathamani kuliko hata milionMimi maoni yangu ni kwamba mwanamke hawezi fanya hayo uliyo yaeleza hapo juu japo umesema baadhi, ungesema mabinti ningekubali maana huwa tunawaona huku vyuoni hata mtaani
Vibinti vya chuo wengi wao japo sio wote huwa wanapenda show-off za hivyo huwa wanaishi kwa kutambiana leo huyu kaweka nywele za100k mwenzake mwenye tamaa akiona nae atafanya kila kitu nae aweke hata zaidi ya hiyo na kama hana hela na ana boyfriend basi ujue huyo boyfriend ataenda kusumbuliwa mpaka atoe hela binti akasuke au avae amzidi mwenzake
Na hii hata kwa wavulana huko vyuoni baadhi nao hufanya vitu kama hivyo, wanavaa kuimpress wasichana au kushindana na wavulana wenzao na hao nao wakisha kuwa wakubwa na kuwa wanaume huwa wanaacha hizo show-off.
Tunakubaliana lakini, mwanaume account iwe inasoma?"wanaume wakiwa wanamshobokea halafu wewe ukawa hujali chochote kuhusu yeye yaani kama humuoni au unamchukulia kama kambale tu"
Hii point ni muhimu sana kumega pisi yoyote[emoji115]
Haimati sana.Tunakubaliana lakini, mwanaume account iwe inasoma?
Nakubaliana nawe ila baadhiAlayna, unakubaliana nami kwamba mwanamke hata akue kiasi gani ila bado anapendwa kufanyiwa mambo ya kitoto?? Pipi kwake inaweza kua inathamani kuliko hata milion
HahahahJe wewe hupendi kufanyiwa hivyo.?
Hahahah naomba nisijibuJibu basi alayna
Ulicho andika kime nifurahishaAlayna unacheka nini🙈
Pembeni ni wapi etMbona hukunijibu pembeni like nililokuuliza
SawaaPrime Minister