Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Haya ni mapya [emoji28][emoji28]

Kwa hiyo nikivaa kinguo changu kinachoniweka comfortable ni Kwa ajili ya mtu [emoji1787][emoji1787]
Ndiyo, katika mavazi bila kujali jinsia kila mtu anavaa aonekane kapendeza, ndio maana haununui nguo za aina moja tu hata kama unafanya kazi ofisini, yani ununue mashati 100 meupe, na suruali 50 za rangi moja labda dark blue. We dress to impress.
Ukipendeza tu lazima utake kutoka nje...
 
Mtoa mada sehemu kubwa yuko sawa, ukisoma kwa makini kuna interplay ya ugumu/ukimya kwa wakati wake na uchangamfu kwa wakati wake ili ipate mizania mujarab.
Ukikaza sana unapoteza, unaweza onekana pastor or saint on the making.
Imagine unakuwa mkimya then ikija katika general issues au common kabisa unaongea pumba!!
 
Kama humu tu unakuta unamfuata fuata mdada kila uzi, pm hukatiki. mwambie tu unamwelewa angalia welekeo wake then sepa.
Ndio uanaume bwana..😉
Mwanamke mmoja ivi nimpuuz sana(sio mzuri sana wakawaida, ila anatako kinoma) tupo kwenye relationship nae kama miez mitatu ila sijamla bado, so naweza sema ni kama hii relationship haijaanza bado..nikifast foward kidogo akapata kazi mkoa mwingine kule kakutana na baharia mmoja(mme wa mtu) kajichanganya kamla nimejua kila kitu nikamwambia asijali we can start over akasema sawa, haikunidisturb sana sababu me sijamla bado so ni kama mimi na yeye hatujaanza bado(I claim somebody is trully mine nikishamtomba, so basically ni kama bado namfukuzia, na nnauhakika ningekuwa nlishamla asingefanya huo upuuz)...anyways nafastfoward tena sasa anazingua kinoma, chenga zimekuwa nyingi, hajisomi haelew kama anantaka mimi au the other guy, usipo mtafuta, hakutafuti, yes yupo busy sana na kazi sikatai, simu anapiga au kutext juma tatu hadi alhamis alafu ni jion tu, hatubong sana atasema anataka kupumzika kesho awah job(yeah she has an excuse si ni siku za kazi), nikasema labda siku za weekend atakuwa ananicheki waapi! hapo sasa ndio anakausha kbsa, saikolojia yangu inaniambia akiwa free she is busy na majamaa wengine anaogopa akinitafuta i'll keep her busy na atashtukiwa so technically she has good reason kuntafuta zile siku za kazi tu ambazo atakuwa na excuse nyingine pia ya naomba tuchekiane kesho and all that bla-bla, na alivyo mjinga anadhani sijui huo mchezo anavyoucheza.

Huyu mwanamke hajui kama i have Eidetic memory, yan kila anachofanya nakiweka kama kilivyo na hajui kama mimi ndio mastermind wa michezo anayofanya. Sasa saivi simtafuti mpaka anitafute akinitafuta i act a fool, become a good guy and act like everything is normal, siku akijichanganya nitamla alafu nimwache bila kumwambia, kaniudh sana yan nimemwonyesha mapenz moto moto ye kaenda kuliwa huko, anyways najua nikimla atakuwa mtumwa yeye sababu kitombo atachopokea hataamini macho yake, na hili nna uhakika nalo sababu hakuna mwanamke aliwah niacha baada ya kumla labda nimpotezee mimi, napo huwa wanakaa hata miaka miwili wakikumbuka wananiletea...
 
Queen I'm aware, ndio maana nasema Mwanaume inatakiwa uwe hatua kumi mbele ya mwanamke.
Ni kweli women are complex creatures but kama nilivyosema mwanzo inatakiwa mtu unayekua naye ujue attitude, personality nk
Yah ni kweli
 
Wa humu Wanaweka picha za ku-download as a profile picture, basi wanawarusha roho ile mbaya. 😂
 
😂😂😂

Umenichekesha sana hapo kwenye kinyume chake. Eti ukiwaheshimu wanakudharau
 
Mwamba unazingua unakaaje miezi 3 bila ya kufaidi mambo mzuri hadi anaondoka. No wonder anakuchunia coz aliona yaliyomo hayamo. Mpotezee kama alivyokupotezea coz uliyataka mweyewe
 
Pole sanaaa.
Mwanaume wa kweli hupotezea Mazima ishu za namna hiyo, chief ukitaka haya maisha uishi bila stress jifunze pia namna ya kuacha wale wasioendana na wewe waende bila ugomvi wala maumivu.

Ilitokea 10 years,nilipenda kupita maelezo,pia visenti nilikuwa navyo,nilijitahidi kutunza kulingana na uwezo wangu,Ila alinichukulia poa sanaaa.
Huwa napata nafasi ya kupata busara za wazee,nikashilikisha hii ishu,nikaambiwa kijana usiumie,hapo hujapoteza,bali umewekeza,ACHANA NAE KISTAARABU.

Kweli nikafuata ushauri kibishii,sikumtafuta na nikaji-disconect nae totally. Maisha yakaendelea,after one week,alikuja na kelele nyiiingi,ooh umenitenga,au ndio umeniachaa?!
Nikamwambia,nina maisha mengine kwa sasaa kwahiyo endelea na huyo unaempa attention.

Now nimeoa,ila hajawahi nisahau kwenye maisha yake,sitaki nisema sanaaa eneo hilo Ila namuelewa vilivyo mtoa mada, chief muache aende, wazuri bado wapo weengi, naamini utapata mzuri na mwema kuliko huyo,usiruhusu tamaa/kisasi kiondoe UTU WEMA ULIONDANI YAKO.
Nimeona niseme kitu, hope utaipokea positive.
 
Mzee thank you, ngoja nimwache nikae kimya..thank you so much man.....
 
Mwamba unazingua unakaaje miezi 3 bila ya kufaidi mambo mzuri hadi anaondoka. No wonder anakuchunia coz aliona yaliyomo hayamo. Mpotezee kama alivyokupotezea coz uliyataka mweyewe
Mzee sikuwa na haraka nae hata kidogo...labda nlikosea lakin i believe i did the right thing...ngoja nikaushe nione, ila najua kesho jion atapiga simu sitapokea pia..
 
Mzee sikuwa na haraka nae hata kidogo...labda nlikosea lakin i believe i did the right thing...ngoja nikaushe nione, ila najua kesho jion atapiga simu sitapokea pia..
Unafeli kuweka matarajio mazuri.

Unatamiwa useme kwamba huyu dada hanitafuti wiki nzima na mimi simtafuti.

Ukisema unajua kesho atakupogia anaweza asikupigie then ukaumia unaanza mumtafuta wewe😄😄
 
Unafeli kuweka matarajio mazuri.

Unatamiwa useme kwamba huyu dada hanitafuti wiki nzima na mimi simtafuti.

Ukisema unajua kesho atakupogia anaweza asikupigie then ukaumia unaanza mumtafuta wewe😄😄
siwez mkuu, siwez kumtafuta..hiyo ya kupiga simu ndio stail yake ya kujisafisha..
 

Halafu mkuu kama umejua vile maana hua wananiona mlokole fulani naitwaga paroko🤣🤣🤣 Navyochukia ulokole sasa
 
Umetisha bonge la desa bonge la simbi bonge la kizenga
 
Inategemea una nini wanawake wa siku hizi mbwa hawana muda wa kuvumbua liganga na mchuchuma ukiwa na mfupa au mchuzi au harufu ya nyama bila hivo utajiju
 
Teh teh teh, hizi mitandao zinachekesha kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…