Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi

Comrade 👏🏽👏🏽.
 
* ndio ningependa kuwa center of attraction kwa mwanaume tuliyependana
So unakubaliana na main topic yangu ipo sahihi japo 70%
Kwanini wanaume hatuendi na fasheni ya kuvaa gauni na blauzi barabarani?? (Mwanaume halisi sio hormonal imbalance)
Wengi hufanya ili kumkontrol mwanaume Kwamba kila anachosema atelekeze (Commanding) kama sisi wanaume tunavyowakontrol
Pole kwa madhira yaliyokupata. Me na Ke hawezi kua sawa kamwe dunia na mifumo yake imekaa kiume. Kutaka kuibalnce ni kwenda kinyume na law of nature/ Mpango wa Mungu.
Hiyo ndio style rasmi aliyoweka Mungu🤣
Kwanza mnakua mnatazamana man to man/live. Kunakua na connection and feelings fulani hivi ambayo unajisikia kweli you're a Human hasa wote mkiwa mnapendana.
Ahsante kwa majibu yako with maturity and smartness inside. There's only one person anayeweza jibu hivi😘

Swali la nyongeza, Je unapenda ubwabwa??🏃🏃
 
coz wanawake wanataka wanaume magaidi and Dominant to them coz wanajiona salama zaidi kua na mwanaume mkali na mkorofi kuliko kua na mwanaume mpole anayemuachia kufanya yale anayoyapenda.
Mwanzo umesema mwanaume anapenda apate attention ya mwanaume na anapenda mwanaume ambaye yeye mwanamke atamtawala mwanaume huyo.

Kwa mantiki hiyo ni kuwa tuseme mwanaume ili apendwe na mwanamke anatakiwa ampe yale ambayo mwanamke anayahitaji kama vile attention na ampe authority,

Sasa kwa nini mkuu unakuja kusema kwamba mwanamke anapenda mwanaume mkorofi na mtata wakati sifa hizo zote mwamamke havutiwi nazo ?
 
Uzi murua sana huu, hongera sana brother maana kuna mambo mengi nimejifunza.
Ila kuna jambo namimi kidogo nichangie, mimi kiujumla huwa c muongeaji sana huwa najihisi comfotable napokuwa peke yangu kuliko kujichanganya na watu hiyo ni tabia yangu natural na siwez ibadilisha. Na pia huwa sina time na mtu huwa nipo bize na my own business.

Kuna kipindi alitokea manzi mmoja jirani ni mzuri sana pisi kali ya kwenda sasa yule manzi alitokea kushobokewa sana na watu kitaa halafu mimi kama kawaida yangu sikuwa na time nae bac dem akawa anajiuliza sana why mimi simshobokei na salamu simpi bac akawa ananiangalia sana bac siku moja akajiingiza kwenye 18 zangu sikulaza dam nikamtongoza bac yule dem alifurah sana bac akanipenda balaa kila wakat cm na anataka nimsindikize kila pahali bac bwana kwa bahati mbaya namimi nikatokea kumuelewa yule dem nikajikuta nimeacha ile misingi yangu,

Bwanawee sasa yule manzi baada ya kugundua nishanasa bac kibao kikageuka akaanza kunipuuzia, cm apokei wala anitafut mwisho wa siku akanidump na pia akahama mkoa aisee niliumia sana na nlijua ni wapi nimekosea, kwahivyo mtoa mada upo sahihi 98% .

Sasa tatizo lingine linalonisumbua kwasasa ni kwamba nimekuwa bad boy kupitiliza yani nimekuwa kauzu sana kiac ambacho hata kutongoza mwanamke naona kama najishusha kwa upande mwingine naona pia ni tatzo yani nimekuwa serious muda wote kiac ambacho naogopwa na jamii nimkuwa sichek wala kuzungumza sana na watu, kiac ambacho wanawake wa hapa home napokaa wameanza kunijadili why awajawahi niona na mwanamke kokote iwe nyumbani au mtaani, kiukweli napenda kuzichakata hizi mbususu ila kumtongoza mwanamke naona kama najishusha hapo ndio tatzo lilipo ebu nipeni ushaur?
 
Si mnajua mwanamke akiPlot mipango yake kutenda kitu hata shetani mwenyewe anakaa chini kuigilizia mbinu….Ukitaka kujua moja ya mbinu zao za kuwinda attention angalia picha zao za Fb, Insta na video zao za Tiktok.
Muda mwingine shetani anaonewa
 
Kila kiumbe duniani akiwepo Mungu pia wote tunapenda kua Appreciated kwa lile tulilofanya. Kwa Mwanaume tunapenda kuambiwa ahsante kutoka kwa wanawake wetu..Na Mwanamke anapenda kusifiwa kwa vile alivyo.

Kuna tukio Yesu aliponya watu 10 wakaondoka kwa furaha kuu ila akarudi mtu mmoja kumwambia aahsante juu ya uponyaji aliopewa, Yesu alifurahi na kumsifu akamzawadia Kusamehewa dhambi zake zote. Umeona nguvu ya kuAppreciate yale tunayofanyiwa/tunayofanya??

Mwanamke anapenda kusikia matendo na Mwanaume anapenda kuona mtendo. Ukimiliki sikio la mwanamke vyema basi utafaidi mambo matamu kutoka kwake. Vivyo hovyo ukimili amcho ya mwanaume utafaidi.

Sasa kama mume anashimdwa kumiliki sikio la mke wake na kumpongeza pale anapotokelezea basi mume huyo hafai na amekosa kitu kikubwa kwenye maisha ya mapenzi.

Mwanaume asiyesifia mpenzi wake ni kama mboga isiyo na chumvi, hailiki kabisa. Kusifia ni kinogesho kikubwa mno cha mapenzi kwa mwanamke

#Kama hutajali naweza kujitolea katika hilo mkuu kama hutajali, sorry lakini I'm not taking advantage of you 🙈🙈🏃🏃
Au ukute umetupia umependeza unatoka nje miluz mingi, unasifiwa mpaka kero afu mume wako ndani hajakusifia, yaani inaboaaa[emoji21][emoji21]

Sasa kumsifia mke wako sh ngapi?

Hapana inaboa , tunapenda kusifiwa hasa na waume/wapenzi, ukiniambia tu umependeza mke wangu aah mm burudaaani[emoji28][emoji28]
 
Uzi murua sana huu, hongera sana brother maana kuna mambo mengi nimejifunza.
Ila kuna jambo namimi kidogo nichangie, mimi kiujumla huwa c muongeaji sana huwa najihisi comfotable napokuwa peke
Pamaoja sana kiongozi. Kuna vitu vinashusha sana heshima kwa mwanaume mojawaoo ndio hivyo kuzoeqna na watu bila sababu
 
Umeongea kitu cha msingi kweli.
Safi sana na hongera sana kwa mabadiliko ya kimtazamo
 

Sawa mpenzi mtazamaji
 

Mkuu upo kama mimi,nilikaa kwenye nyumba ya kupanga na wanawake kibao miaka mitano siwajui hata majina hata namba zao sikuwahi kuwa nazo ila walikuwa wanatamani sana hata kusikia sauti yangu lakini wapi!
 
"dunia hii ni mmoja tu ndio naweza kujipendekeza"

Nani huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…