Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Hili Huwa ndio tusi nalo lipenda kuliko lolote....πππ Unaambiwa huyu hamna kitu hatoboi
Kwa kesi hii ukute approach unazotumiaShida ya wanaume wengine ni wajuaji mno adi wanaharibu mambo na hawashauriki
Ukute sasa mwanamke una hiyo nguvu ndani yako ya kuona mambo basi unabaki kumcheki tu!
Achana naye, fuata moyo wako, anataka uoe ili uzae mtoto amrithishe mikoba?Bibi angu hua analia eti kwanini sioi?? Nasubiri mpaka afe?? Yaani hadi nachanganyikiwa mwenzenu. Mimi bado mdogo [emoji24]
Kweli labdaAdui wa mtu ni wa nyumbani mwake...
Watu hutafuta watu wanaowaharibia maisha kumbe wapo nao karibu sana...
Aisee,,sawa.Cheo Cha usaidizi hawakupewa bure na Mungu walipewa na uwezo ndani yao...
Wasikilizwe...
NB: Ila sio wote...
Udogo kwenye nini mkuu kukabiliana na changamoto ama kutoa malezi kwa watoto na mama yao, bora lakini kama unajiona haupo tayari bora uache kabisa ndoa inahitaji commitment kubwa lasivyo utakonda kwa mawazo na hata kazini utashuka kiutendajeBibi angu hua analia eti kwanini sioi?? Nasubiri mpaka afe?? Yaani hadi nachanganyikiwa mwenzenu. Mimi bado mdogo [emoji24]
Mh,nakataaKwa kesi hii ukute approach unazotumia
Mi nilitafuta adu zangu niwajue, nikawa naomba Mungu anipe macho nione..Kweli labda
Hili lina ukweli, kuna jirani yangu alikuaga anamlalamikia sana mama ake kwamba akimuambia tu kitu hatoboii, au akimpa hela anakua kama kajifungulia mlango wa kupoteza tu hela matatizo yanaibuka hata hayaeleweki ilimradi tu atamaliza hela, nikawa namshangaa namuambia mbona wenzio ukimpa mama na baraka unaona akajibu sio mama angu, kumbe nyuma ya pazia mama ni mlozi hatarii na alishamuambiaga hutakuja uolewe ng'oo na dada kila mara ni ana achwa tuu .Mama yako ananguvu za upande wa pili...
Tunaita za giza...
Mama Ako ndio awe adui wakati mama angu ananiombea nifanikiwe since day one...Mi nilitafuta adu zangu niwajue, nikawa naomba Mungu anipe macho nione..
Nilipokuja kuwaona ni wa karibu sana, Tena mzazi wangu na mama yangu ndio adui yangu...
Aisee... Inauma hii kitu jamani...
Naona Kila kitu jamani naonaaa ..
Huwezi kujua wewe...Mama Ako ndio awe adui wakati mama angu ananiombea nifanikiwe since day one...
I'm 23yrs old siwezi oa na umri huo. Anagalau nifike 30.Udogo kwenye nini mkuu kukabiliana na changamoto ama kutoa malezi kwa watoto na mama yao, bora lakini kama unajiona haupo tayari bora uache kabisa ndoa inahitaji commitment kubwa lasivyo utakonda kwa mawazo na hata kazini utashuka kiutendaje
Natafuta nguvu maana sasa nina maumivu ya moyo, yaliyotokana na kama haya nitaleta Uzi watu wajue...Hili lina ukweli, kuna jirani yangu alikuaga anamlalamikia sana mama ake kwamba akimuambia tu kitu hatoboii, au akimpa hela anakua kama kajifungulia mlango wa kupoteza tu hela matatizo yanaibuka hata hayaeleweki ilimradi tu atamaliza hela, nikawa namshangaa namuambia mbona wenzio ukimpa mama na baraka unaona akajibu sio mama angu, kumbe nyuma ya pazia mama ni mlozi hatarii na alishamuambiaga hutakuja uolewe ng'oo na dada kila mara ni ana achwa tuu .
Sahihi, ni kwa wale walio "safi" kimwili na kirohoNb: kutokana na changamoto za Maisha ya udangaji na Uzinzi hii Intuition power huwa inapotea so usitegemee kuipata kwa Mtu ambaye ameshachafuka Sana huko utapotea.