Ilikuwa zamani,mbolea za kichina zilishawaingia hadi kwenye ubongo,na akili zimeshapoteza network. Msaada wa mimba,wao wanataka pesa ya kutoa. Teh teh teh tehCheo Cha usaidizi hawakupewa bure na Mungu walipewa na uwezo ndani yao...
Wasikilizwe...
NB: Ila sio wote...
Hata hiyo nyingi. Labda wa kijijini. Wa mjini hapanaManeno na mawazo ya mwanamke yafuate kwa asilimia 15 tu inatosha.
Usisikilize ramli chonganishi, mara nyingine mama zetu hawana vifua, unamshirikisha Jambo na yeye chap anashirikisha marafiki zake, wajomba, majirani huko ndio anaatract negative energy bila yeye kujua.Huwa nikimshirijisha mama Jambo lazima lifeli😡
Ndio wapo baadhi ya wamama wana tabia za hivyo kwa baadhi ya watoto wao hawapendi tu watoboe hata km ukifanya kitu ukafanikiwa atafurahia kinafiki tu lakini deep inside alitaka ufeli tu Ila Mungu akaamua kuingilia kati ukafaulu na ikiwa hivyo inamuuma sana maana alishawaambia watu yule hata afanyeje hatoboi, hivi we uwaambie watu yule hatoboi alafu akatoboa hivi unajisikiaje?Aikoooh!
Huyu ni mama yako mzazi? hizi ni dalili kuu za ushirikina ndani yake
Khah! Kwamba una nguvu gani? Kwa karne hii,mwanamke awe na nguvu ya kumshauli mwanaume? Ungesema ya kumshawishi sawa.Shida ya wanaume wengine ni wajuaji mno adi wanaharibu mambo na hawashauriki
Ukute sasa mwanamke una hiyo nguvu ndani yako ya kuona mambo basi unabaki kumcheki tu!
Mjini asilimia ngap 1? 😆Hata hiyo nyingi. Labda wa kijijini. Wa mjini hapana
ukileta naomba uni tag dear, hope uko sawa sasa?Natafuta nguvu maana sasa nina maumivu ya moyo, yaliyotokana na kama haya nitaleta Uzi watu wajue...
Sawasawa, nipo poaukileta naomba uni tag dear, hope uko sawa sasa?
Ushawishi wenyewe ni kuvaa nguo za kutegesha tunaziita chambo yaan nguo imebana matako yametutumuka km yupo uchi ndio ushawishi wenyewe huo jichanganye usachiwe wallet yako 😆Ungesema ya kumshawishi sawa.
Na ushawishi ni wa kupewa tu hela. Na hela hiyo ni ya kwenda kulipia chumba lodge kuruka sarakasi. Mmeshajulikana babuu
Kama we ni mwanaume nimekuhurumia sana,Khah! Kwamba una nguvu gani? Kwa karne hii,mwanamke awe na nguvu ya kumshauli mwanaume? Ungesema ya kumshawishi sawa.
Na ushawishi ni wa kupewa tu hela. Na hela hiyo ni ya kwenda kulipia chumba lodge kuruka sarakasi. Mmeshajulikana babuu
DuhBaada ya kufahamu kuwa nikimshirisha nafeli, nilipowcha nimekuwa nafqnikiwa.
Alafu Ana tabia ya kunikatisha tamaa.
Utasikia:
"..unadhani utaweza?"
"..unadhani itawezekana?"
"..hapo unapoteza muda tu"
"..unajisumbua tu"
Hata Kuna siku alinikuta nikiotesha maua akasema "unadha yataota? Hayawezi kuota. Niliyamwagikia miezi 3 hayakuota"
Basi vizuri.Sawasawa, nipo poa
Sio wanawake wote wakikwambia Jambo ulifuate wengine wanakupoteza maboya lazima kichwa chako kiwe na utulivuKama we ni mwanaume nimekuhurumia sana,
Huwa nikimshirikisha mama Jambo lazima lifeli😡
hili lipo sahihi kabisa asee,Usisikilize ramli chonganishi, mara nyingine mama zetu hawana vifua, unamshirikisha Jambo na yeye chap anashirikisha marafiki zake, wajomba, majirani huko ndio anaatract negative energy bila yeye kujua.
Mimi nikimshirikisha Jambo langu mama namwambia kabisa usiwaambie wengine, wasije kuleta husda tukafeli.
Halafu wakati mwingine na wewe Jikaze, usimwambie yoyote Jambo lako, hata mama, Kama Una pesa kidogo mpe huku ukitia nia Ile pesa unayompa ilete baraka kwako.
Mimi huyu kabisa daktari mimi,engineer mimi,afisa mipango mimi,mwanasheria mimi ,mwanajeshi mimi sitakagi kushindwa ila mambo yakigeuka na niliambiawa nakuwaga kama panya kalowa.Shida ya wanaume wengine ni wajuaji mno adi wanaharibu mambo na hawashauriki
Ukute sasa mwanamke una hiyo nguvu ndani yako ya kuona mambo basi unabaki kumcheki tu!
Kwa lipi sasa! Ndo maana wanaitwa mwakaloboKama we ni mwanaume nimekuhurumia sana,
Waache wajichanganye. Wema wao unajulikana.Ushawishi wenyewe ni kuvaa nguo za kutegesha tunaziita chambo yaan nguo imebana matako yametutumuka km yupo uchi ndio ushawishi wenyewe huo jichanganye usachiwe wallet yako 😆
0.000001. As long as kule chini ni mwakarobo,bora ukajitose.Mjini asilimia ngap 1? 😆