Mwanamke akikuambia jambo litafakari kwa umakini sana

Hii ni kweli, nilishawahi kusikia sauti ikiniambia kuwa boyfriend wako ana mwanamke zaidi ya mara tatu ila nikawa na ignore baadae ndio nikaja kufahamu na kuthibitisha baada ya kwenda kwake bila taarifa. Kumbe alikuwa akiishi na mwanamke for almost 5 years na mimi alikuwa ananipeleka hapo hapo kwake aisee.
 
Mh,nakataa
Unakuta akiwa na utulivu unampanga kabisa na anakubali na anaona kabisa umempa points ila sasa ikifika utekelezaji anageuka alafu baadae anagundua alikosea anasema atafata ushauri ila hafati!
Anakua in a same cycle all day every day!
Sio kila kitu mwanaume anachokubaliana nawe na kuitikia basi amekiafiki au atakitekeleza, kuna wakati mwingine tunawaitikia hili tu kuepusha maneno,
 
Mmmh alikuwa anakutombea palepale? jamaa ni tatizo sana
 
Sio kila kitu mwanaume anachokubaliana nawe na kuitikia basi amekiafiki au atakitekeleza, kuna wakati mwingine tunawaitikia hili tu kuepusha maneno,
Sijakataa ila sasa basi unachoamua kilete matunda chanya
Ila sasa kama unachoamua wewe kinaleta maumivu je?
Shida yenu wanaume sometimes mnatumia nguvu kubwa kuprove uanaume wenu adi mnaharibu
 
Hii kitu hata Kwa hao wazinzi na wadangaji sio km haipo
Ila ni ubishi tu ....

Mungu ndo ametuwekea hii kitu
 
Manaake huyo wake hajakaa kwenye nafasi yake
Mwanamke akijitambua na kukaa kwenye nafasi yake ndo utaelewa hiki anachosema mtoa mada,and vice versa is true
 
Makubwa
Ana roho ya kuua vitu ndani yake
Duh,pole
Ila ss we unatakiwa akisema jambo likanushe hapohapo
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wamama mladi tu akukosoee
 
Aikoooh!
Huyu ni mama yako mzazi? hizi ni dalili kuu za ushirikina ndani yake

Wala sio mshirikina ni namna tu alivyo havihusiani sema yeye amelinganisha tu

Wamama wengi wapo hivo wana kadharau fulani hivi hasa kama wewe ni lastborn yaani ana kudogodeshaa
 
Wanaume kweli ni mbwa.
 

Mmmh mzazi wako anakufanyaje sasa mpk anakuwa adui wako au munapishana tu
 
Hii dhamira ya ndani wote me na ke wanayo, inatengenezwa na jinsi mtu anavyolelewa na mapokeo yake kulingana na mapito tofauti tofauti....

Dhamira inaweza kupatia au kukosea iwe kwa me au ke, haitabiriki....

Hii dhana ya kwamba dhamira za ke ziko sahihi zaidi sio kweli, imefanywa kisingizio tu kwasababu wanawake wanapenda kusikilizwa.
 

Umesema ukweli wamama hawana siri mpk unaogopa kumwambia yaani mimi siwezi kumueleza jambo langu la msingi ambalo sitaki wengine walifahamu mpk pale litakapo kamilika

Nimewahi kumdokeza tu kuna mtu nimempata ila sina uhakika nae akaenda kuwaambia ndugu zake ndugu zake Nao wakasambaza nikaanza kupigiwa simu za kuulizwa mpk nikaona aibu namuuliza kwanini ulisema ananikazia et kwani kuna ubaya gani

Na mchumba nikakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…