Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
Leo ndio nimeamini mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatokua na shida na fedha zako.
Mwanamke mmoja mkali sana ameniletea zawadi Leo, nimefurahi sana hata usingizi hauji yaani. Tena akaniambia unastahili zaidi ya hivyo, nimebaki mdomo wazi.
Bado nawaza aise.
Nilichojifunza wanaume wengi hatukutani na wanaotupenda kwasababu hatujichanganyi katika mazingira yenye hao wanaotupenda.
Ni hayo tu.