Mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatakua na shida na fedha zako

Mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatakua na shida na fedha zako

Kama watu wengine wanaonesha effort ya kukuhitaji huwataki huwa wanakulaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hupati amanj kwenye mapenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
A wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iliwahi nitokea kabla watu wengine hawajaonyesha effort.

Sisi wengine tuko emotional sana,hatuwezi ficha hisia aisee...kumbe mtu akishaona hivyo basi anapata pa kukutesea.
 
Imekutokea mara 1 ukinikataa mimi subiri zingine 5 za maana😂😂😂
 
Imekutokea mara 1 ukinikataa mimi subiri zingine 5 za maana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ikinitokea tena si napiga tu chini kwani shi ngapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukishaonyesha tu kuwa unampenda sana mtu anaanza kukuona mjinga.
Hapo unakuwa umempenda mshamba wa mapenzi😁!!! Nilichojifunza tu mwanamke akikupenda anakufanyia vitu vizuri vizuri tu na hakuombi hela ila pia mwanamume akikupenda hutomuomba hela anakupatia tu😁
 
Acha mbwembwe kijana... Kwanza embu yueleze Mahusiano yenu yana mda gani?
Eti wala hatokuwa na shida na pesa zako. [emoji16][emoji16][emoji16] Ni suala la mda tu. Anakuvutia kasi, siku akianza kukutandika spana za kichwa ndo akili itakujia otherwise iwe umekutana na shugamami huko. [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hahahahahah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Utapitwa na gari la mshahara oho wekeza kwa mangi hapa mambo ya ningejua[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo unaniandama Sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo unakuwa umempenda mshamba wa mapenzi[emoji16]!!! Nilichojifunza tu mwanamke akikupenda anakufanyia vitu vizuri vizuri tu na hakuombi hela ila pia mwanamume akikupenda hutomuomba hela anakupatia tu[emoji16]
Mimi siamini katika kuomba omba.
Mtu akiona umuhimu wa kukupa atakupa,na mtu asije kaa akisubiri mimi nitamuomba...never.

Sema hii dunia kuna watu sijui wapoje,akishajua tu kuwa unampenda basi atakunyanyasa hadi ukome.
 
Acha mbwembwe kijana... Kwanza embu yueleze Mahusiano yenu yana mda gani?
Eti wala hatokuwa na shida na pesa zako. [emoji16][emoji16][emoji16] Ni suala la mda tu. Anakuvutia kasi, siku akianza kukutandika spana za kichwa ndo akili itakujia otherwise iwe umekutana na shugamami huko. [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Nakataaa,wapo kaka tena wengi
 
Back
Top Bottom