Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mnaanza vizuri ,,baadaye mwanamke unaongeza upendo basi anakuona boya[emoji23][emoji23]anakutesa akijua kabisa huwezi kumuacha.Afu hawapendeki hawa watu,wanatumia upendo huo kama fimbo kwa aliyependa sana
Kumbe unamvutia tu siku!Kuna muda uvumilivu ukifikia tamati basi unajichomoa anabaki haamini.
Mimi sitakuja fanya tena hayo makosa ya kumuonyesha mtu kuwa namjali sana...hawajui wanachotaka hawa